Nitabishaje kitu ambacho sijakielewa? Maana mara unasikia kwamba ccm inategemea polisi ina maana watu wameichoka ila tena unakuja kusikia inategemea ujinga wa wananchi kwamba wanapewa kanga.