Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Barangumu limelia..
Nchi tajiri zinaona zinafilisi kodi za wananchi wao kwa kuisaidia Africa misaada ya "kishenzi" wakati viongozi wetu wakielea kwenye matumizi ya " anasa"
Burkinafaso Imeonyesha mfano wa kutaka kujitegemea na kuondokana na wakoloni mazima... Wameanza na kutengeneza magari yao..
Vikwazo walivyopigwa N.Korea, Urusi, Iran na Venezuela ingekuwa Africa tungekula nyasi kwa umbumbu au kujibwetekea kwetu .
Moja ya dalili za nchi ambazo hazina mpango wa kujitegemea angalia matendo ya viongozi wake ... lakini zaidi ustaarabu wa jamii yake .. logic katika kutunga sheria nk..
Long story short, hivi kwanin viongoz wetu karibu wote, Upinzani na Serikalini... Hawatumii ubunifu wa Watanzania katika kuhabarisha jamii, ikiwemo JF? Kuna uzito gani?
Wapo radhi walipie Badge kwenye social media nyingine na kutupiga bla bla huko ... Na mara nyingine kufunga comments..
Sasa JF kujiunga na kuitumia ni bure... Kwanin hatutaki vya nyumbani?
Kiongozi wangu Pascal Mayalla nashukuru huwa unafanya hivyo
Tatizo lipo wapi?