Kinachowazuia wanasiasa wetu kutumia JF kutupasha habari ni kitu gani?

Tuna watawala sio viongozi..kiongozi ni mtu anaewashawishi wananchi ktk maono yake na kwa asilimia kubwa wakakakubaliana nae..sasa tuna viongozi ambao hawataki kuulizwa maswali na wananchi !!!wamekosa sifa za uongozi, ni Watawala..
 
Gentleman,
nadhani viongozi waaandamizi na taasisi mbalimbali za umma nyingi tu zimo karibu mitandao yote ya kijamii ikiwemo kwenye platform hii muhimu na ya heshima sana y JF,

huenda hujaridhika tu na kwamba ungependelea mambo mengi zaidi yatolewe taarifa kupitia platform hii,

hata hivyo,
ni kipi kizuri au kibaya ambacho kinawahusu viongozi waaandamizi wa umma au idara za kisekta za serikali halijatekelezwa na kuwekwa bayana humu JF?

Mi nadhani ubunifu na usanifu wa wadau wengi mno kutoka humu jukwaani hutumika kuongoza mambo mengi sana ndani na nje ya serikali 🐒
 
Wengi Waongo Hawaishi Majimboni, Watakachosema Kuna Members Wa JF Wapo Eneo Husika. Hakuna Uwajibikaji Mfano Nina Kisa Cha Mbunge Mmoja Miaka 5
Hajafanya Lolote Jimboni Mwisho Akalipwa Stahiri Zake Zote Na Hakugombea Tena


Jimbo Limedoda Yeye Kaondoka Na Cash Ya Jimbo, Salary Nono, Mafuta Tele, Sitting Allowance Yote, CCM Ipo Tuli Kama Mtungini
Sheria Zibadilishwe Atemeshwe Cash Anayoila
 
Mnawapiga maswali magumu
Mpaka wanakimbia

Ova
 
Sasa wadukuliwe na nani?
Wamejificha kwenye IDs lakin habari hawatupi😂 wanapost hukoo, alafu tukaziokote tuzilete huku, kwel?
Soma post #6 ina majibu yote
 
Sijaelewa umeandika nini. Kujitegemea au kutumia mtandao wa JF? Kwani JF ya Tanzania? Mbona mnasemaGA savers zake zipo Marekani?
 
Mkuu hebu jiheshimu bana..
Kweli mimi wa kufanana na bichwa komwe aaaah mkuu mbina unanikosea sana..

Kwanini usiseme wewe umefanana na braza chogo
dogo kwa huu uhandsome wangu usinifananishd na viumbe wa ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…