imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Damu unakimbilia kwenye mtambo kama vile umekunywa Sialis😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Damu unakimbilia kwenye mtambo kama vile umekunywa Sialis😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Na Watu wenye MadeniBinafsi naona watu wanaopenda Sana kutazama Taarifa za habari wanazeeka Sana ...kuliko wale wanaotazama mziki Tu mda wote au tamthilia Tu mda wote
Matumizi makubwa ya akili hayawezi sababisha mtu kuzeeka. Manake kuzeeka ni matokeo ya seli hai kufa na kupungua mwilini sasa kadri mtu anavyokuwa ndipo hizi seli nazo hupungua na hii haiepukiki.Kwa muda sasa nimekuwa nikitafakari sana kwamba huenda kama binadam asingekuwa na shughuli nyingi sana zinazohitaji ubongo wake kufikiri kwa kina sana ili kupata majibu au matokeo ya kile anachokifanya, basi angedumu kwa muda/miaka mingi sana bila kuzeeka. Nina mifano michache hapa:
Nina rafiki mmoja ambae kabla ya kuajiriwa miaka mitatu nyuma alikuwa kijana kabisa wala huwezi kumfikiria kuwa na umri mkubwa kwa namna yoyote ile. Baada ya kupewa majukumu mazito ambayo mara nyingi yanahitaji matumizi makubwa ya akili, ameanza kuota mvi kwa haraka sana ndani ya mwaka mmoja tu na sura yake sasa inaonesha ni mtu wa makamo ilihali ni kijana mdogo tu.
Mfano wa pili, narejelea, muonekano wa Barack Obama kabla ya kuwa rais na baada ya kuwa rais(kama picha zilizowekwa mtandaoni ni sahihi). Mfano wa mwisho, nimewahi kuangalia pia picha za Kikwete kabla ya urais na muda mfupi baada ya kuwa rais.
Ndugu wanajamvi, kuna uwezekano jambo hili likawa na uhalisia? Kwa wakristo, rejea kwa manabii, mitume na wafalme wa zamani katika biblia miaka walioishi. Huenda kudumu kwa muda mrefu kulichangiwa na namna walivyoishi, yaani hawakuhitaki kuumiza kichwa sana kufikiria kuishi maisha yenye uhitaji wa mikiki mikiki ya akili.
Labda niulize ili kupata ufafanuzi wa ziada kuhusu hii hoja. Kuna wakati mnaweza kuwa katika level moja ya elimu, tuseme secondary au chuo, baadhi ya wanafunzi wanaanza kuota mvi au kuanza kuwa na upara, je hawa wanakuwa wanatumia aki zao zaidi ya wengine?Kwa muda sasa nimekuwa nikitafakari sana kwamba huenda kama binadam asingekuwa na shughuli nyingi sana zinazohitaji ubongo wake kufikiri kwa kina sana ili kupata majibu au matokeo ya kile anachokifanya, basi angedumu kwa muda/miaka mingi sana bila kuzeeka. Nina mifano michache hapa:
Nina rafiki mmoja ambae kabla ya kuajiriwa miaka mitatu nyuma alikuwa kijana kabisa wala huwezi kumfikiria kuwa na umri mkubwa kwa namna yoyote ile. Baada ya kupewa majukumu mazito ambayo mara nyingi yanahitaji matumizi makubwa ya akili, ameanza kuota mvi kwa haraka sana ndani ya mwaka mmoja tu na sura yake sasa inaonesha ni mtu wa makamo ilihali ni kijana mdogo tu.
Mfano wa pili, narejelea, muonekano wa Barack Obama kabla ya kuwa rais na baada ya kuwa rais(kama picha zilizowekwa mtandaoni ni sahihi). Mfano wa mwisho, nimewahi kuangalia pia picha za Kikwete kabla ya urais na muda mfupi baada ya kuwa rais.
Ndugu wanajamvi, kuna uwezekano jambo hili likawa na uhalisia? Kwa wakristo, rejea kwa manabii, mitume na wafalme wa zamani katika biblia miaka walioishi. Huenda kudumu kwa muda mrefu kulichangiwa na namna walivyoishi, yaani hawakuhitaki kuumiza kichwa sana kufikiria kuishi maisha yenye uhitaji wa mikiki mikiki ya akili.
Nakubali kwa asilimia 100, ukiangalia wazee waliokuwa wanafanya kazi nyingi za mikono wakifikisha umri fulani viungo vinakataaKinachozeesha ni michakato miiiiingi ya kiungo husika, so sehemu itakayoanza kuzeeka ni ile inatumika sana zaidi ya kawaida[kuistressisha];
Kama unaustressisha sana ubongo, ubongo utaanza na mwili utafuata fasta,
Kama unakuuula sana basi tumbo litaanza na mwili utafata fasta,
Kama unakulana sana hivyohivyo sehemu za siri zitaanza na mwili utafuata fasta,
Imagine hata wanaolewa sana ni ini litaanza halafu ndio mwili utafata fasta,
Unakula na kunywa visumusumu basi figo[au ini] litaanza na mwili utafuata fasta,
Watu zamani walikuwa wanapigwa jua sana so ngozi ilianza halafu mwili unafata fastaa.
Hii sio concept mpya, waulize wanaomiliki gari, pikipiki au hata bajaji na baskeli. Kuna kanuni moja kwamba kikiharibika kitu hata kama ni kidoogo wewe fanya service. Usipokafanyia service basi chombo kizima[mwili mzima] utafatia kuharibika na kufa kabisa. Ikiua ka pump ukaacha kuservice inaua hadi injini vivyo hivyo kwa mwili.