master of cities
JF-Expert Member
- Mar 14, 2015
- 429
- 625
Ieleweke kwamba wachungaji hawa maarufu na manabii maarufu, Mwamposa, Kakobe, Mzee wa Upako, Hananja, Malisa, Gwajima, Kimaro na hata yule nabii wa Arusha na wengine wengi hunena yaliyo ya Mungu ila nyuma ya pazia wanaye mfalme wao wanayemtumikia kwa uaminifu mkubwa , huku wakijifunika kwa vifungu vya biblia ambavyo concept yake inarelate na mafundisho ya kijamii na ulimwengu
Hii iko wazi kabisa, lakini kwa vile hapa duniani bhana kila mtu anapambana ili mkono uingie kinywani basi tunakausha maisha yaendelee Hananja hana lolote la kumkosoa Zumaridi mana na yeye ni wale wale wanajua wanayemtumikia sema kazidiwa tu ujanja wa ku_trend, thus why amekuja juu kumshambulia mwenzake ili atembee na upepo
Ni sawa na Zitto uone anamponda Mbowe au Mbowe amponde Zitto, kwa vyovyote hapo sababu ni kuzidiana kwenye ulambaji wa Asali gia ya kutetea wananchi hiyo ni mindset cover