Kinamchomsumbua Hananja ni wivu wa kuzidiwa 'trending' na Mfalme Zumaridi

Kinamchomsumbua Hananja ni wivu wa kuzidiwa 'trending' na Mfalme Zumaridi

Ieleweke kwamba wachungaji hawa maarufu na manabii maarufu, Mwamposa, Kakobe, Mzee wa Upako, Hananja, Malisa, Gwajima, Kimaro na hata yule nabii wa Arusha na wengine wengi hunena yaliyo ya Mungu ila nyuma ya pazia wanaye mfalme wao wanayemtumikia.

Hii iko wazi kabisa, lakini kwa vile hapa duniani bhana kila mtu anapambana ili mkono uingie kinywani basi tunakausha maisha yaendelee Hananja hana lolote la kumkosoa Zumaridi mana na yeye ni wale wale wanajua wanayemtumikia sema kazidiwa tu ujanja wa ku_trend, thus why amekuja juu kumshambulia mwenzake.

Ni sawa na Zitto uone anamponda Mbowe au Mbowe amponde Zitto, kwa vyovyote hapo sababu ni kuzidiana kwenye ulambaji wa Asali.
Usimfananishe mchungaji Hananja na mambo ya kijinga kama zumaridi. Idiot!
 
Akili za kisukuma bwana ,hananja bilionea umfananishe na zumaradi ,punguza upunguani wako
We kima kweli , Billionare kwa lipi , tulete mali za mfalme zumaridi alaf ulete na za huyo hananja , yeye hananja atafte na yeye trending site yale ili aende mjini , sio kudandia hoja za mwenzake , mana tukifukunyua ya kwake na yeye ni wale wale P.O.BoX ..... Motoni ,
 
Haya tusaidie pia kinacho msumbua zumaridi ni kipi ....ili mzani ikae sawa
Zumaridi katake airtime , na ameenda viral inashangaza wachungaji wanojua siri ya urembo wamekaa kimya , kihere here cha hananja kudandia mwenzake , ikobhzi kama anjijua ana hoja ya msingi atafte hekima kama akili kubwa za mwakasege although lao ni moja
 
Kwahiyo tumekubaliana kua Zumaridi alienda mbinguni au hakwenda?
Kwahiyo Paulo ni kweli alitaka kumuoa Zumaridi ila Zumaridi akakataa?
Na vipi kuhusu Jua kumtokea chumbani kwake usiku?

Nitarudi kusoma majibu.
 
Back
Top Bottom