Kinamchomsumbua Hananja ni wivu wa kuzidiwa 'trending' na Mfalme Zumaridi

Kinamchomsumbua Hananja ni wivu wa kuzidiwa 'trending' na Mfalme Zumaridi

View attachment 2558875
Huyu hapa , kila kukicha anazurura kwenye media , mwenzake kafanya interview moja tuu ya kibabe tena millard ayo kamfata home kwake , interview moja tuu imeenda mjini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa huyu mzee wivu wa nn? Si nayee akafanye intavoo na milard Ayo atrend town.

Atuache na Zuma wetu. Uwiiiih
 
Zumaridi jana alikua kwenye show ya rayvanny,sio shida zake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787],zumaridi mimi namchukulia kama.comedian fulani hivi unamsikiliza unacheka unaondoa stress,mengine unamuachia mwenyewe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiiii.
 
Zumaridi sio maskini kama unavyofkri , ni wajasiliadini wachache sana wanaweza mkalisha Zumaridi kimaslahi , alaf nguvu ya zumaridi huyo hananja anaingia mara 100, Mtu kama millard ayo anafunga safari kwenda kwa Zumaridi na TCRA wamekaa kikao kujadil interview ya Zumaridi and she is only 36 yrs old , mali alizo nazo Zumaridi mnachanga ukoo
ukoo wenu
 
Zumaridi jana alikua kwenye show ya rayvanny,sio shida zake
🤣🤣🤣,zumaridi mimi namchukulia kama.comedian fulani hivi unamsikiliza unacheka unaondoa stress,mengine unamuachia mwenyewe!
Hana tofauti na mandonga mtu kazi
 
Back
Top Bottom