Hiyo siyo imani. Tofautisha imani na kufuru. Alikuja nabii Tito watu wakamsupport kwenye ile dini yake ya ulevi na uzinzi. Sasa nikuulize swali, utadai nabii Tito aachwe kisa ana imani kwenye kulala na house girl na kulewa pombe?.
Imani lazima iwe kanuni na utaratibu mliokubaliana Kama waumini mbele za Mungu. Sasa wewe uwe Mungu, hapohapo uwe kiongozi wa dhehebu na Tena uwe mchumba wa mtu hiyo sio imani, ni utaahira Kama yule Yesu wa tongoren Kenya au Jehovah wanyonyi.
Tukikaa tukasema waache watu wafanye kufuru kesho yatatokea mambo ya ajabu tutabaki tumeshangaa hatuna Cha kufanya Kama ushoga ulivyoshamiri.