Kinamchomsumbua Hananja ni wivu wa kuzidiwa 'trending' na Mfalme Zumaridi

ZUMARIDI ataondoka na wengi. Kama mawazo ndio haya. Alianza kujiita Mungu, baadae kabadilika kasema alienda mbinguni na kuchumbiwa na Petro akamkataa.
Yaani huyu zumaridi dishi lishayumba zamani tu.Ila wanadami sisi badala hao wafuasi wamsaidie apate tiba wao wamekuwa mstari wa mbele kumshanhilia.Mungu tusaidie
 
Yaani huyu zumaridi dishi lishayumba zamani tu.Ila wanadami sisi badala hao wafuasi wamsaidie apate tiba wao wamekuwa mstari wa mbele kumshanhilia.Mungu tusaidie
Dishi lililoyumba haliwezi sababisha TCRA wakae kikao
 
ZUMARIDI KUINUKA KWAKE NI ISHARA
1. MAMMLAKA ZA NCHI ZIMELALA
2.KUSHINDWA KWA UKRISTO (HAKUNA TAMKO LOLOTE KUTOKA KWENYE MAKANISA HALALI, KUPINGA ANACHOFANYA)
3.WAUMINI WAKE NI WAGONJWA WA AKILI.
 
ZUMARIDI namfananisha na nabii Tito, wengi walimsupport nabii Tito ila baadae wakamkimbia baada ya kukili kwamba yeye Ni shoga.
Nabii tito huyu alikua na wafuasi?? Mbna sina habariiii khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni biashara huru, uzuri wa zumaridi ajawahi waponda wenzake.
Yeye na wafuasi wake.
SAsa hivi ajitahidi awe karibu na walamba asali Ili jela imuogope kama wafanyavyo wajasiliadini wenzake.
Wee ndo umemaliza kila kitu.
 
Mtu akiongea ujinga asionywe au kushauriwa?. Mtu Leo anajiita Mungu , kesho anadai ametokewa na jua , mara amekutana na Petro akataka kumchumbia etc. Uongee yote hayo ya kujicontradict na watu wakae kimya?. No please.
Kila mtu apite njia yake, Hananja aache wivu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]r
 
Sasa wee unaumia nn hapo? Si uwe buzz na hiyo imani yako.
Muacheni zumaridi apite njia yake. Huu ni wivu
 
Ufia dini unakusumbua poleeeee, muacheni zumaridi na wafuasi wake, kwan mnateseka na kipi? Su mbaki na imani zenu??

Au imani zenu ni za ubabaishaji??? Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…