[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa huyu mzee wivu wa nn? Si nayee akafanye intavoo na milard Ayo atrend town.View attachment 2558875
Huyu hapa , kila kukicha anazurura kwenye media , mwenzake kafanya interview moja tuu ya kibabe tena millard ayo kamfata home kwake , interview moja tuu imeenda mjini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiiii.Zumaridi jana alikua kwenye show ya rayvanny,sio shida zake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787],zumaridi mimi namchukulia kama.comedian fulani hivi unamsikiliza unacheka unaondoa stress,mengine unamuachia mwenyewe!
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ya dini Ni magumu Sana..
Unaweza kukuta mungu anamkubali zumalidi
Akikujibu nitag, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila kwenye movie ambapo malaika wanaongea kizungu huwa hamshangai au kuona vituko
NA Serikali inafurahia kuona watu, wanavyozidi kuchizika, kwao inakuwa Ni auheniJuzi nilikuwa na pastor mmoja tukashare jinsi Zumarid alivyopata waumini. Afya ya akili ni tatizo kubwa
"zumaridi ni tithi"....limesikika lijinga limoja lililookoa hivi karibuni.
ukoo wenuZumaridi sio maskini kama unavyofkri , ni wajasiliadini wachache sana wanaweza mkalisha Zumaridi kimaslahi , alaf nguvu ya zumaridi huyo hananja anaingia mara 100, Mtu kama millard ayo anafunga safari kwenda kwa Zumaridi na TCRA wamekaa kikao kujadil interview ya Zumaridi and she is only 36 yrs old , mali alizo nazo Zumaridi mnachanga ukoo
DuuuuZUMARIDI ataondoka na wengi. Kama mawazo ndio haya. Alianza kujiita Mungu, baadae kabadilika kasema alienda mbinguni na kuchumbiwa na Petro akamkataa.
Kwahiyo anafikisha ujumbe kwa waliobaki waache kula nauli?ZUMARIDI anakwambia aliona wadada wanaokula nauli za wanaume wakichomwa moto mbinguni [emoji4]
Tanzania Wajinga Ni Wengi SanaZumarid anapataje watu wa kumtetea?
Hana tofauti na mandonga mtu kaziZumaridi jana alikua kwenye show ya rayvanny,sio shida zake
🤣🤣🤣,zumaridi mimi namchukulia kama.comedian fulani hivi unamsikiliza unacheka unaondoa stress,mengine unamuachia mwenyewe!
As soon as possible.Kwahiyo anafikisha ujumbe kwa waliobaki waache kula nauli?
Anakwambia ameshuhudia mengi sana ya kusikitisha huko mbinguni [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah