Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

Kwani wewe hujui bro kuwa rais ni to MAGUFURI,, hivi huoni tofauti za kiulinzi na stronie misafara ya magufuri ilivyo tofauti na ya lowassa?? Subiri amri zianze rasmi HAPA KAZI TU , kama bro ni mfanyakazi wa serikali na ulishazoea kukata nyaya sasa kazi imeanza andaa resignatio mapema mjomba maana wazalendo ndio wameshaingia ikulu sasa!!
 

Dah!

Ni kama ulikuwa kichwani mwangu aisee.

Ni mwendelezo ule ule wa nguvu ya soda na kupigana machanga ya macho.

Kuna nini cha kuchunguza ambacho hakijulikani?

Majinga kweli haya maCCM.
 
Angeunda kabla ya tar 25,ili kuanzia 26 anaanza kazi tuuu
 
rais magufuli hataki kupoteza mda,,NI KAZI TU..

Kazi tu!!mwaka huu mtakohoa damu..wananchi hawawataki..goli la mkono nalo ni gumu safari hii!mtaharisha kama mabata kwa kihoro!
 

Wape vindonge vyao.
 
Mkuu hawa ni matapeli wa kutupwa. Miaka 10 ya Kikwete yote alishindwa kuangalia haya mambo leo wanakumbuka shuka wakati kumekecha

Mkuu, mbona unawapa udhuru hao wapuuzi?

Ukisema miaka 10 ni kana kwamba hawajatawala Tanzania tokea uhuru?

Vipi miaka 10 ya Mkapa? Mwinyi? Na ile 20 na kitu ya Nyerere?

Kuna madhila gani yaliyo mapya ambayo hayakuwepo wakati hao wengine walipokuwa wanatawala?
 
Hahaha! Kazi kwelikweli! Isije ikawa shuka inakumbukwa asubuhi! Huko watapokwenda hao wengine wasanii watakuwepo pia!? Huyo Kinana si alishazunguka nchi nzima ina maana hawakumuelewa!?


kinana kipind kile kiukweli hatukumuelewa anachozungumza, SABABU WATU TULI-CONCENTRATE KUANGALIA FISI na si kumsikiliza anachoongea.Safari hii akija na wasanii, basi tutajazana kuwatazama na kuwasikiliza wasanii.

KINANA=0 {workdone=0}
 
Hao wastaafu wajue hiyo prnsion wanayokula na familia zao inatoka kwa waTanzania ambao wanataka mabadiliko!

Maslahi yao yapo matatani , ndio maana MAKAMBA anakuja na mpango kambambe wa kukinusuru chama, mmoja ya mikakati ni wazee kwenda front.
 
Huko ni kuchanganyikiwa, ndo maana watanzania huwa hatufiki mbali,raisi wa nigeria juzi katimiza siku 100 akiwa state house akiwa bado hajateua waziri au katibu yeyote katika serikali yake, bado anatafakari na kupokea wadhifa wa watu wanaofaa kuliongoza taifa. Papara zetu ndo maana tumefika hapa, watalaam wazuri hawezi kuwapata kwa sasa, watalaam anaoweza kuwapata kwa sasa ni wale wanaotaka kula na wala sio kuleta maendeleo, ndo dizaini za kina makamba hizo, wao lengo lao ni kuteuliwa kuingia kwenye system. USA transition ya raisi huchukua zaidi ya miezi 5, angalieni kosa la ccm just within 2 days raisi kateua furani kuwa blablabla, huyo mtu umemchunguza lini? anadhamira ipi?
 
Safi sana,
 
Karukwa na akili. Ikulu hatumpeleki kichaa.
Ikulu hatupeleki mgonjwa anayetetemeka mikono, hawezi hata kushika kipaza sauti kwa mkono wa kulia, anatembea kama nyani maana mwili wote unatetemeka. Ikulu hatupeleki mtu anayejinyea ovyo maana hatuna bajeti ya pampasi. Ukome kutukana tunajua udhaifu mwingi mno wa fisadi wenu lowasa.
 
Kweli mmenipa hasira...huyo mgombea wenu anatoa ahadi kibao kumbe hajui atatekeleza vipi!?matatizo ya nchi ccm haiyajui hadi iunde kamati!? Kwani ilani ya chama chenu inafanya kazi gani... daaah kwwli mmechoka..marais wwnu waliotangulia walifanya kazi gani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…