Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

mienendo yao inanipa mashaka, wanafanya kama ni chama kipya kabsaaa!!!

huku ndo kule mfa maji ..............

Mkuu hata mmarekani aliyopo New York anaelewa matatizo yetu kuliko hawa CCM. Halafu vitu vingi wanavyoahidi kuvibadilisha inatakiwa kwanza wabadili katiba iwe kama ile ya Warioba. Jambo ambalöo hawataki
 


Mkuu mengi ya wanayoahidi wameshayakataa kwenye mapendekezo ya katiba mpya. Ni vitu vingi sana huwezi kuvifanya bila kuwa na katiba nzuri. Huu ni usanii wa Makamba tu.
 
Mjombangu kijijini analalamika Mwanae anakalia jiwe darasani!!
 
Wanabodi.....nasikia hii ndo itakua fimbo ya mwisho kwa wapinzani wake kwa chama tajwa hapo juu kupitia mgombea wake kujinadi kua itairudisha rasimu ya Warioba.....Hii itasemwa siku ya Ufungaji wa Kampeni zake ili kuwanyima wapinzani wake muda wa kujadili hili....
 
Wamechelewa sana. Hii ngoma haigeuki tena, mwanzo mpaka mwisho ni MABADILIKO.
 
kama anataka kuwa mtumishi wetu lazima asikie masharti na maelezo ya sisi mabosi wake ambayo ni katiba ya warioba. toka lini mtumishi anajipa maelekezo na masharti ya kazi! atoe takataka zake.
 
Wanakumbuka shuka wakati kumekucha.It's too little too late.Wapiga madili waliwazidi nguvu.
 
Hilo jopo alilounda linalipwa sh ngapi na linalipwa na nani?
 

chief, watu bado hatujasahau ghiliba ya mahakama ya kadhi.
 
Kama ni CCM waache tu.Kama wakifanya hivyo ndio watazidi kujichomea utambi na kwa kweli watakuwa wamejimaliza kabisa.Afadhali waache tu.Hii itaonyesha wazi kwamba kweli CCM ni chama cha matapeli na kimejaa vihiyo wasioweza kufanya maamuzi ya busara kama akina Nape.
 
Kikwete NA Mkapa mtaongeza hasira ya wananchi kwa Ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…