Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

mienendo yao inanipa mashaka, wanafanya kama ni chama kipya kabsaaa!!!

huku ndo kule mfa maji ..............

Mkuu hata mmarekani aliyopo New York anaelewa matatizo yetu kuliko hawa CCM. Halafu vitu vingi wanavyoahidi kuvibadilisha inatakiwa kwanza wabadili katiba iwe kama ile ya Warioba. Jambo ambalöo hawataki
 
Binafsi siioni kwa mtazamo wako huo. Ni vizuri kufanya hivyo ili watekeleze bizuri yaliyomo kwenye ilani yao na ahadi za papo kwa papo wanazozitoa majukwaani - maana mhombea urais, makamu wake na wapambe wote wameenda wakiahidi! Kinachonisumbua katika hili ni dharau wanayoionyesha kwa Watanzania, kwamba wao hatatusipowapihia kura tayari wameshinda! Hii kwangu ni dharau kubwa kwa demokrasia, anagalabu wangeyafanya kimyakimya. Najua hii ni mojawapo ya mkakayi wao kuwakatisha tamaa wapiga kura walio kinyume na wao lakini hawakuiangalia vyema upande mwingine

Mkuu mengi ya wanayoahidi wameshayakataa kwenye mapendekezo ya katiba mpya. Ni vitu vingi sana huwezi kuvifanya bila kuwa na katiba nzuri. Huu ni usanii wa Makamba tu.
 
Mjombangu kijijini analalamika Mwanae anakalia jiwe darasani!!
 
Wanabodi.....nasikia hii ndo itakua fimbo ya mwisho kwa wapinzani wake kwa chama tajwa hapo juu kupitia mgombea wake kujinadi kua itairudisha rasimu ya Warioba.....Hii itasemwa siku ya Ufungaji wa Kampeni zake ili kuwanyima wapinzani wake muda wa kujadili hili....
 
kama anataka kuwa mtumishi wetu lazima asikie masharti na maelezo ya sisi mabosi wake ambayo ni katiba ya warioba. toka lini mtumishi anajipa maelekezo na masharti ya kazi! atoe takataka zake.
 
Wanakumbuka shuka wakati kumekucha.It's too little too late.Wapiga madili waliwazidi nguvu.
Wana bodi!
Hali ya CCM ni mbaya sana. Hawakutegemea kabisa kuwa watanzania watawakataa kama inavyotokea sasa. Na katika ku-panic na kuonyesha taharuki wamejikuta wanafanya mambo yanayozidi kuwafumbua wananchi macho na kuiona CCM ni kundi la matapeli:
1; Matusi ndio imekuwa ilani yao ya uchaguzi.
2: Magufuli ameshindwa kujinadi kwa kutumia jina la CCM na badala yake anajinadi kama mgombea binafsi.
3: Na kali ya funga kazi ni hii iliyotokea leo: wamekuja na mpango wa maandalizi ya ilani mpya huku ile ya zamani wakiwa wameitupa. Hebu oneni huu utapeli:

My take: CCM wanazidi kuonyesha utapeli, ulaghai na kuwa ni wale wale wala hawakuwa wamejiandaa. Hivi kweli inaweza kuingia akilini mtu kusema Chama kilichotawala muda wote huu haya mambo kilikuwa hakiyajui na sasa ndio wameshtuka na wanaanza kuchunguza? Si ni kwasababu wameona hali ni mbaya ndio maana wanakuja na mipango mipya huku hata iliyopo kwenye ilani haijatekelezwa?
 
Hilo jopo alilounda linalipwa sh ngapi na linalipwa na nani?
 
Wanabodi.....nasikia hii ndo itakua fimbo ya mwisho kwa wapinzani wake kwa chama tajwa hapo juu kupitia mgombea wake kujinadi kua itairudisha rasimu ya Warioba.....Hii itasemwa siku ya Ufungaji wa Kampeni zake ili kuwanyima wapinzani wake muda wa kujadili hili....

chief, watu bado hatujasahau ghiliba ya mahakama ya kadhi.
 
Kama ni CCM waache tu.Kama wakifanya hivyo ndio watazidi kujichomea utambi na kwa kweli watakuwa wamejimaliza kabisa.Afadhali waache tu.Hii itaonyesha wazi kwamba kweli CCM ni chama cha matapeli na kimejaa vihiyo wasioweza kufanya maamuzi ya busara kama akina Nape.
Wanabodi.....nasikia hii ndo itakua fimbo ya mwisho kwa wapinzani wake kwa chama tajwa hapo juu kupitia mgombea wake kujinadi kua itairudisha rasimu ya Warioba.....Hii itasemwa siku ya Ufungaji wa Kampeni zake ili kuwanyima wapinzani wake muda wa kujadili hili....
 
Kikwete NA Mkapa mtaongeza hasira ya wananchi kwa Ccm
 
Back
Top Bottom