nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
kwa kweli kwa upande wa vikosi kazi na organization ccm wako vizuri kuliko UKAWA.nawashauri ukawa ndani ya hizi wiki mbili zilizobaki waingize field vikosi vitatu kimoja kiongozwe na LEMA kingine kiongozwe na mbowe au lissu na cha tatu kiongozwe na mdee. wakichelewa wameliwa. hongereni sana ccm...