Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli for change.Watoto wanakaa chini angali mapori yametuzunguka...
Miaka 54 ya uhuru!
Tunahitaji mabadiliko
Huwa nahisi kwamba Magufuli alikuwa ni chaguo la Mkapa ...Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana, ameanza ziara ya kampeni katika majimbo 64. Vilevile, viongozi wengine wa CCM, akiwemo Rais na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa, nao wataanza safari za kuzunguka nchi nzima kumuongezea kura Dkt. Magufuli na wagombea wetu wa Ubunge na Udiwani.
kwa kweli kwa upande wa vikosi kazi na organization ccm wako vizuri kuliko UKAWA.nawashauri ukawa ndani ya hizi wiki mbili zilizobaki waingize field vikosi vitatu kimoja kiongozwe na LEMA kingine kiongozwe na mbowe au lissu na cha tatu kiongozwe na mdee. wakichelewa wameliwa. hongereni sana ccm...
Yameogelewa mchana huu- lumumba!
n.b/
****
HALI IMEZIDI KUWA TETE KWA CCM.
Watoto wanakaa chini angali mapori yametuzunguka...
Miaka 54 ya uhuru!
Tunahitaji mabadiliko
54 years hamjafanya kitu
Nimesoma taarifa ya January Makamba akieleza Rais mtaafu Benjamin Mkapa ataingia kuongeza nguvu ya katika Campaign za Maghufuri.
Je kuingia kwa Mkapa kutaleta mabadiriko kwa wapiga kura?au CCM imeishiwa pumzi?
We unaonekana hata mke wa rafiki yako unamsifia kuliko wako. Ukisikia jambo dogo tu linakupeleka puta sanakwa kweli kwa upande wa vikosi kazi na organization ccm wako vizuri kuliko UKAWA.nawashauri ukawa ndani ya hizi wiki mbili zilizobaki waingize field vikosi vitatu kimoja kiongozwe na LEMA kingine kiongozwe na mbowe au lissu na cha tatu kiongozwe na mdee. wakichelewa wameliwa. hongereni sana ccm...