Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

Kama katiba mpya siyo agenda, hata hiyo no 5 haina maana.
 
Ccm imepagawa hiyo wanatapatapatu, Mabadiliko hayazuiliki
 
Magazeti mbona mnaandika uchochezi kwanini mmeshwindwa kabisa kuendesha mijadala nakuleta makada was vyama nakuchambua ilani zao nakuandika yalio jiri zidi ya makad hao
 
Maji ya shingo!

Muda wa lala salama, ccm tulibweteka sana
 
Magufuli ananishangaza sana, sasa hivi wakati wa kampeni zake tu kuna amri anazitoa kana kwamba tayari ameshatawazwa kuwa rais, je akishaapishwa hali itakuwaje? Kingine kinanishangaza Radio Clouds wanapiga wimbo wa taifa wakati wakitoa tangazo la Magufuli kuomba kura kama vile yeye tayari ni rais wa nchi. Huu ni ukiukwaji mkubwa wa katiba ya nchi. Lakini tume ya taifa ya uchaguzi iko kimya.
 
magufulia aache kutisha watu, urais ana uhakika. ushauri kwake aache mbwembwe muda anao wa kuanza na kupanga mambo yake endapo ataupata. lakini watz wanataka mabadiliko toka nje ya ccm. kwahiyo yeye si mlengwa amuulize membe alivyokuwa na kiherehere mwishoni yakamkuta na jimbo keshakabidhi wapinzani, maana nnape lazima asahaulike kwenye sanduku la kura tar. 25/10/2015
 
 
 
 
 

Haya majukumu yananipa shida sana

Mbona kama haya yalitakiwa yawe ndio source ya ilani ya CCM wakati huu wa uchaguzi?? ina maana ile ilani imeandikwa bila hiyo baseline info

Sometimes nadhani CCM ina wapishi wengi mno kiasi kwamba inaharibu mapishi

Je, sasa hicho kikosi kazi kitaifumua ilani ya ccm 2015-2020??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…