Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkiwa Babati Mlisemaje kuhusu wagombea wanaotumia chopa?
magufulia aache kutisha watu, urais ana uhakika. ushauri kwake aache mbwembwe muda anao wa kuanza na kupanga mambo yake endapo ataupata. lakini watz wanataka mabadiliko toka nje ya ccm. kwahiyo yeye si mlengwa amuulize membe alivyokuwa na kiherehere mwishoni yakamkuta na jimbo keshakabidhi wapinzani, maana nnape lazima asahaulike kwenye sanduku la kura tar. 25/10/2015Ndg Wanajamii,
Jana na leo vyombo vya habari vimejinasibu na habari ya Mgombea wa CCM ndg Magufuli kuteuwa jopo la wataalamu kwa ajili ya mchakato wa kumwezesha kutenda kazi vizuri akiwa ikulu. Kwa taarifa za kweli na rasmi ni propaganda tu, hakuna kitu kama hicho, ni mbinu tu ya wapambe kuona kama gia hiyo inaweza kuwaingia wananchi na kuona kama kweli inalipa kama ile ya tafiti za TWAWEZA kubuma.
Wakati Makamba anatangaza hayo kwa wandishi wa habari, alishindwa kubainisha wabobezi hao wametoka katika taasisi zipi na lead consultant ni nani? Ndio maana mambo muhimu hayajabainishwa katika ushauri wao. Pia mambo mengine kama Mishahara kwa utumishi wa umma uko wazi na kuna sera na tume maalum sasa ya kusimamia mishahara.
Ni vema UKAWA KUCOUNTER ATTACK MARA MOJA Propaganda hii.
magufulia aache kutisha watu, urais ana uhakika. ushauri kwake aache mbwembwe muda anao wa kuanza na kupanga mambo yake endapo ataupata. lakini watz wanataka mabadiliko toka nje ya ccm. kwahiyo yeye si mlengwa amuulize membe alivyokuwa na kiherehere mwishoni yakamkuta na jimbo keshakabidhi wapinzani, maana nnape lazima asahaulike kwenye sanduku la kura tar. 25/10/2015
Mletamada umepaniki
Magufuli kimbiza hao ni spid 120
Sijafahamu hv na kwenye majimbo yaliyosimamisha wale aliowaita mawaziri mizigo atafikako?
magufulia aache kutisha watu, urais ana uhakika. ushauri kwake aache mbwembwe muda anao wa kuanza na kupanga mambo yake endapo ataupata. lakini watz wanataka mabadiliko toka nje ya ccm. kwahiyo yeye si mlengwa amuulize membe alivyokuwa na kiherehere mwishoni yakamkuta na jimbo keshakabidhi wapinzani, maana nnape lazima asahaulike kwenye sanduku la kura tar. 25/10/2015
magufulia aache kutisha watu, urais ana uhakika. ushauri kwake aache mbwembwe muda anao wa kuanza na kupanga mambo yake endapo ataupata. lakini watz wanataka mabadiliko toka nje ya ccm. kwahiyo yeye si mlengwa amuulize membe alivyokuwa na kiherehere mwishoni yakamkuta na jimbo keshakabidhi wapinzani, maana nnape lazima asahaulike kwenye sanduku la kura tar. 25/10/2015
Magufuli ananishangaza sana, sasa hivi wakati wa kampeni zake tu kuna amri anazitoa kana kwamba tayari ameshatawazwa kuwa rais, je akishaapishwa hali itakuwaje? Kingine kinanishangaza Radio Clouds wanapiga wimbo wa taifa wakati wakitoa tangazo la Magufuli kuomba kura kama vile yeye tayari ni rais wa nchi. Huu ni ukiukwaji mkubwa wa katiba ya nchi. Lakini tume ya taifa ya uchaguzi iko kimya.