Nilicho kujua ni kuwa magufuli hakuwa amejianda kuwania nafasi ya urais, hivyo chama chake kinge mbeba. Lakusikitisha ni kuwa hata chama hakikuwa na maandalizi!!!!.
Lakini pia inadhihirisha ni namna gani huyu bwana hakujipanga kugombea Urais. Amekariri ilani ya CCM lakini hata hajui bado maeneo ya kubana matumizi! Anataka ma-profesa wamtajie majibu. Isipotekelezeka aje na zile za Kikwete - ameshauriwa vibaya.Hii ni kudharirisha Taaluma ya PHD. Yaani Unaenda Ikulu hujui matatizo ya watanzania. Ningekubaliana na Jopo kama kungekuwa na Term of Reference(TOR)
View attachment 297839Na haya ndio majukumu ya jopo hilo.
Magufuli na ccm ni wagonjwa wanasubiri kukata roho tu wazikwe rasmi..halI alionayo kwa kweli ni mbaya si mijini wala vijijini..itakuwa aibu mwaka huu!Huko ni kuchanganyikiwa, kuunda kabla ya matokeo! Naona wanacheza na ujinga wa watu. Imekula kwao ccm safari hii hawachomoi n'go
Haya majukumu yananipa shida sana
Mbona kama haya yalitakiwa yawe ndio source ya ilani ya CCM wakati huu wa uchaguzi?? ina maana ile ilani imeandikwa bila hiyo baseline info
Sometimes nadhani CCM ina wapishi wengi mno kiasi kwamba inaharibu mapishi
Je, sasa hicho kikosi kazi kitaifumua ilani ya ccm 2015-2020??
Jopo la wehu kutoka kwa mshauri mwehu. So heri wangeunda jopo la kuwashauri wafanya nini chama chao kisipasuke mapande na kufa kabisa baada ya kushindwa uchaguzi mkuu
Kama katiba mpya siyo agenda, hata hiyo no 5 haina maana.[/QUOTE
Sheria ndogo ndogo ndizo zinazounda katiba,
Hata wewe mwenyewe hujui kinachoendelea unapelekwa tu kiushabiki...chopa 4 zimepangwa kutumika, na mgombea atatumia itakapomlazimu. Kwahiyo ccm halali, wengine haramu.