Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

Pale unapojua unamshabikia jembe, tingatinga, muadilifu, mchapakazi na mfuatiliaji lazima uwe na raha na amani muda wote.

Kila la Kheri kwa raisi wetu mtarajiwa J.P. Magufuli #HapaKaziTu
 
Kuwa muelewa na jua kutofautisha mambo wewe. Kuna wagombea na makada.

Ndani ya CCM mgombea wake aliahidi kuzunguka kwa gari na anafanya hvyo nchi nzima.
 
hata mruke kwa ungo kura hamati ng'o na ikulu mtaichungulia maana ccm tumeichikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 

Yote haya yatatimizwa Magufuli akiingia madarakani na kufungua mahakama maalumu ya wala rushwa.

Oktoba 25, mchague Magufuli kwa maendeleo bora.
 
Acha mikwara hewa weweMnaona mnaidiwa mnaanza kumlilia refa, ninyi mmevunja sheria ngapi hadi sasa!! Na kwa taarifa yako tu ni kuwa nimestaafu siasa kabla hata hujajua maana ya siasa, au kwako pushapu ndiyo siasa safi na matusi kwa mgombea upinzani ndiyo siasa safi, mmewakamata wangapi kutoka majukwaa yenu wanaotukana hadharani?...katika niliyoyaandika onyesha matusi!! matusi yako wapi hapo? mnapewa ushauri ninyi mnatafsiri kuwa ni matusi kwa kuwa tu haupendi?Wewe unaona kuna busara katika jambo hilo? tusipokosoa unadhani nini kitafanyika? Mlianza kwa kutaka majina ya wote walioshindwa kwenye kura za maoni yaletwe ili muwatafutie kazi..kuna utimamu katika hilo?
Ni ninu kitakachofuata hapo kipindi hiki cha kampeni kama hatutasimama kama hivi na kupaza sauti? si mtatuundia baraza la mawaziri, mtatutelia IGP, mtatuteulia mkuu wa majeshi n.k? Elewni tu kuwa mnachoanza kufanya ni vurugu na hatutawaacha muivuruge nchi in the name of campaign. Au mnadhani sheria mnazijua ninyi tu?
 

Sie wa Tanzania wa 2015 sio wale wa 1995 au 2005. We have known the truth. Kutu danganya na kuturubuni imefika mwisho. Hata muwe na vikisi vya watu milioni moja, muziki wa Mh Lowassa ni mwinginem mumechemka sana.
You failed us 2010 and we are no longer interested in this political party. Enough of you guys, we just need a change no other way out.
The lying has been over due we just need a different political party to take over and clear your mess.
Kwa ufupi, ccm mumeshindwa kazi tuliwaamini, lakini mumeonyesha kwamba kazi imewazidi na mumeshindwa. Tatizo ni mfumo wa ccm na sio makufuli wala lowassa mjuwe hilo.
 
 
This is the matter of death and life...hapa ni kuhakikisha kila unachokifanya kinakuletea matokeo chanya huuu ni muda wa kupigana kwa ajili ya ukombozi wa Tanzania, tunataka Tanzania mpya,tanzania inayosogea mbele kwa kasi kubwa. Wakati wenzetu wanatembea sisi tunahitaji kukimbia. Tushikamano watanzania, tusipoteze nafasi katika hili, tuungane sote kwa umoja wetu tumchague kiongozi atakayekua bora kwetu na mwenye uwezo wa kusimamia sheria,mchapakazi, muadilifu, mfuatiliaji na mkweli... Wakati ni wako kijana kuamua hatama ya taifa lako
 
 
jopo la ushindi haya ndiyo mabadiliko ambayo tulikuwa tunayasubiri magufuli ana hekima sana anatambua shida zetu na naamini ndani ha hiyo miaka 5 ijayo atakuwa amefanya mabadiliko makubwa sana mungu ampe nguvu na hekima ili asije danganyika na kushawishika na wahujumu mali za umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…