nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
Umeambiwa hawatatumia chopa ....labda ikibidi!!
hzo nne za nini? Na hao wataonaje matatizo ya wananchi? Mavuvuzela tu hamna lolote na namba mmeshaisoma mpaka muda huu
Hapa kazi tu kuanzia siku ya kwanza
Yaani mnachunguza wakati mlisema matatizo ya watanzania mnayajuwa...!!!
Anyway baneni matumizi na ongezeni juhudi kwenye haya
1. Fungeni wote wa mishahara hewa
2. Halmashauri zenye hati chafu watieni ndani wote
3. Kamata wakwepa kodi wote
4. Futa misamaha ya kodi
Hiyo Ya 5 Kama Kuna Cha Kubadilisha,mchunguze Pia Sheria Ya Mtandao Watu Wawe Huru,ifutwe Au Irekebishwe Maana Imewafanya Watu Weng Kuwa Waoga Hata Kama Walikuwa Na Uwezo Wa Kukosoa Wamejawa Na Uoga.