Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

Mungu ni mkubwa na kwa hili huenda sala za wachungaji na mashehe zimejibiwa!
Atawakweza sana UKAWA!
 
Huyu january ndio nani ccm?...january unakumbuka ya mtabila na nyarugusu enzi hizooo kigoma..
Leo eti msemaji ccm mmmh
 
Mwaka huu hatutaki maneno mazuri hata mseme mtatupa asali kila siku hatuwataki maana tumezoea ahadi zenu nzuri sana tusipokuwa makini mwaweza tuahidi hata mbingu
 
Maji yamezidi unga, hakuna ugali tena sasa unapikwa uji. Tayari watanzania wameshaamua kufanya MABADILIKO. Hakuna namna tena ya kubadilisha mambo.
 
Hana jipya che nkapa aliuza kila kitu kwa bei ya kutupa. Ataishia kupata aibu tu
 
Mmh!! Mbona kama wanaandaa ilani mpya ya uchaguzi??

Ama kweli Magufuli ni mgombea huru.
 
Waliambiwa Kingunge ni hazina wakamdhihaki, sasa wanatoa hata funza zote zilizojificha
 
ccm ni wajinga sana. ivi hii nchi inahitaji kuunda jopo lolote kugundua matatizo ya wananch kweli.? Mfano tatizo la umeme unaunda jopo la nini. ili wagagundue nini.! CCM ni ya kufutilia mbali maana inadharau watanzania. Kila sikukuunda tume na majopobila solutions. Pumbavu sana
 
Nimesoma taarifa ya January Makamba akieleza Rais mtaafu Benjamin Mkapa ataingia kuongeza nguvu ya katika Campaign za Maghufuri.
Je kuingia kwa Mkapa kutaleta mabadiriko kwa wapiga kura?au CCM imeishiwa pumzi?
Vipi umeogopa?
 
Kwani waliokuwepo serikalini siyo wasomi??

Kina Benson Bana Nao ni wababaishaji tu
 
safi sana nakuhakikshia na Mimi nitaendelea na kampeni huku kijini kwetu ili rais wetu ashide kwa kishindooo

Nakukubali sana ..Hapa kazi tu tokea siku ya kwanza, asante sana Magufuri.
 
Swala si kuunda kundi la wasomi swala ni kuaandaa kundi la waadilifu sio wezi wasomi na kiukweli ccm hakuna waadilifu ndio shida😂😂😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…