Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Huyu ndo kura yangu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watz tunachekesha sana. Ccm ilikuwq wapi muda wote??
Huwa nacheka ninapomuona kijana kama wewe ukikata mauno hapa utafikiri umetoka unyago angalia wenzako wasije wakakutupia mpiniJe Za Sumaye Na Tambwe Hizza Zina Mvuto?
Dkt. Magufuli amelipa jopo hili majukumu yafuatayo:
1. Kuchunguza na kupendekeza maeneo ambayo Serikali itabana matumizi, ikiwemo manunuzi ya umma, posho za vikao na matumizi ya magari, ili atoe maamuzi kuanzia siku ya kwanza atakapoapishwa;
2. Kuchunguza na kupendekeza maeneo ambayo Serikali itaongeza mapato mara moja bila hatua za kibajeti kuanzia siku ya kwanza atakapoapishwa;
3. Kuchunguza na kupendekeza maboresho makubwa katika mfumo wa utendaji na utumishi na ufanisi katika Serikali;
4. Kupitia kodi na ushuru wenye usumbufu kwa wafanyabiashara wa ngazi zote, wakulima, wafugaji na wavuvi iwapo unaweza kurekebishwa bila kuathiri bajeti ya Serikali inayotekelezwa sasa.
5. Kupitia sheria zote za nchi na kuorodhesha Sheria ambazo zinapaswa kubadilishwa haraka ili kuharakisha mabadiliko ya kweli na ya haraka ambayo ameyaahidi kwa Watanzania;
6. Kupitia na kuorodhesha masuala yote na kero zote zinazosubiri maamuzi ya Serikali ili atoe maamuzi kuanzia siku ya kwanza atakapoapishwa.
7. Kupendekeza miundo na idadi ya Wizara na kutengeneza rasimu za mikataba ya kazi kwa Mawaziri, Makatibu Wakuu na watendaji wengine wakuu atakaowateua mara baada ya kuapishwa.
8. Kupendekeza njia za haraka za kumaliza kero za watumishi wa umma, hasa walimu, askari, madaktari na wauguzi, ili aanze nao kazi wakiwa na ari na morali ya kusukuma mabadiliko ya kweli.
9. Kutengeneza rasimu ya mpango-kazi wa utekelezaji wa Ilani ya CCM na ahadi alizozitoa kwenye kampeni, hasa upatikanaji wa ajira kwa haraka na umeme wa uhakika;
10. Kupendekeza muundo wa kitaasisi na utaratibu muafaka wa kutekeleza ahadi ya kutoa shilingi milioni 50 kwa kila kijiji na mtaa nchini.
Dkt. Magufuli ameazimia kuanza kazi mara moja kwa bidii kubwa na maarifa mapya.
Imetolewa na:-
January Makamba
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni
Hayo ni maandalizi mazuri. Hakuna sababu ya kupoteza muda baada ya uchaguzi. Wananchi wanakiu ya mabadiliko. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Mkuu lakini Mh.Magufuli hatumii chopa.
Wewe ni mpumbavu na lofa! Mbona huulizi EL anaposema kuwa ushindi utapatikana mapema tarehe 25/10/2015?Acha kusema takataka wewe,matokeo ya urais minimum mda wa kutangaza ni masaa 72.sasa wewe sijui utakua unashangilia matokeo yapi???
Piga hesabu ya saa vizuri! Uchaguzi unafanyika tarehe 25 kuanzia saa2 hadi 10. Baada ya hapo wanahesabu kura. Mwisho wa siku ni saa6 kamili usiku. Kuanzia saa 6.01 ni tarehe 26/10 ambapo ni siku nyingine na siyo asubuhi na mapema 25/10 kama unavyodai wewe! #Hapakazitukwenye tarehe umekosea kidogo, ni asubuhi na mapema ya tarehe 25/10/2015 mheshimiwa edward ngoyai lowassa atakuwa ameshatangazwa mshindi, maana kura atakazozipata kwa muda wa lisaa limoja tu baada ya zoezi kuanza hamna mgombea mwingine atayefikia robo yake. Lowasssssssssssssa
Unafikiri Lowassa akishika nchi vitu vyote vinafutwa? Au yeye anaanza na watumishi wapya kila sehemu!Hiyo pension unaitoa wapi, wakati mtashindwa mapema asbh
Unafikiri Lowassa akishika nchi vitu vyote vinafutwa? Au yeye anaanza na watumishi wapya kila sehemu!
Kabisa....Mungu akikupa nguvu akakunyima hekima utampiga hadi mamako...ndo ya ccm...wanapiga makofi mama zao bila haya na wanashangilia kwa push ups majukwaani.Yeah: 1%Words 99%Actions. Lowassa.