Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli ni dawa ya hayo yote.
Mkuu, hao uliowataja ni wale wale tu...Mkuu,
Nimefurahishwa na namna ulivyotoa comment yako,,imeonyeshwa wazi hufurahishwi na mambo yanayoendelea,,lakini pia huchukulii suala la uchaguzi na uendeshaji wa serikali kishabiki,,naamini na nadhani na wewe unaamini despite of wana ccm wengi wabaya na mafisadi(kama walivyokua kina lowassa,kikwete,chenge,karamagi n others) kuna wana ccm wenye nia na dhamira ya kulipaisha taifa hili,,,kina magufuli,mwakyembe,mwandosya,sitta,j.makamba na wengineo,,ninaamini era ya wana ccm walio na dhamira safi inakuja kwenye awamu hii ya 5
ndg wanajamii,
jana na leo vyombo vya habari vimejinasibu na habari ya mgombea wa ccm ndg magufuli kuteuwa jopo la wataalamu kwa ajili ya mchakato wa kumwezesha kutenda kazi vizuri akiwa ikulu. Kwa taarifa za kweli na rasmi ni propaganda tu, hakuna kitu kama hicho, ni mbinu tu ya wapambe kuona kama gia hiyo inaweza kuwaingia wananchi na kuona kama kweli inalipa kama ile ya tafiti za twaweza kubuma.
Wakati makamba anatangaza hayo kwa wandishi wa habari, alishindwa kubainisha wabobezi hao wametoka katika taasisi zipi na lead consultant ni nani? Ndio maana mambo muhimu hayajabainishwa katika ushauri wao. Pia mambo mengine kama mishahara kwa utumishi wa umma uko wazi na kuna sera na tume maalum sasa ya kusimamia mishahara.
Ni vema ukawa kucounter attack mara moja propaganda hii.
wana maaaaaaaaaaaaaaaaaamlaka gani ya kikatiba?upumbavu kwenye mediaNdg Wanajamii,
Jana na leo vyombo vya habari vimejinasibu na habari ya Mgombea wa CCM ndg Magufuli kuteuwa jopo la wataalamu kwa ajili ya mchakato wa kumwezesha kutenda kazi vizuri akiwa ikulu. Kwa taarifa za kweli na rasmi ni propaganda tu, hakuna kitu kama hicho, ni mbinu tu ya wapambe kuona kama gia hiyo inaweza kuwaingia wananchi na kuona kama kweli inalipa kama ile ya tafiti za TWAWEZA kubuma.
Wakati Makamba anatangaza hayo kwa wandishi wa habari, alishindwa kubainisha wabobezi hao wametoka katika taasisi zipi na lead consultant ni nani? Ndio maana mambo muhimu hayajabainishwa katika ushauri wao. Pia mambo mengine kama Mishahara kwa utumishi wa umma uko wazi na kuna sera na tume maalum sasa ya kusimamia mishahara.
Ni vema UKAWA KUCOUNTER ATTACK MARA MOJA Propaganda hii.