Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is the matter of death and life...hapa ni kuhakikisha kila unachokifanya kinakuletea matokeo chanya huuu ni muda wa kupigana kwa ajili ya ukombozi wa Tanzania, tunataka Tanzania mpya,tanzania inayosogea mbele kwa kasi kubwa. Wakati wenzetu wanatembea sisi tunahitaji kukimbia. Tushikamano watanzania, tusipoteze nafasi katika hili, tuungane sote kwa umoja wetu tumchague kiongozi atakayekua bora kwetu na mwenye uwezo wa kusimamia sheria,mchapakazi, muadilifu, mfuatiliaji na mkweli... Wakati ni wako kijana kuamua hatama ya taifa lako
ukiwa na akili za kilofa lazima kila utakalo sikia lazima tu uone ni kweli jaribu kua mtafiti wa mambo na pia kuyachunguza hayo mambo unayoyasikia magufuli kwa jopo hili lazima maendeleo yaonekane we kaa kupiga keleleNasikia jamaa amepata stoke jamaa wa bao la mkono
OVER MY DEAD BODY.....Yote haya yatatimizwa Magufuli akiingia madarakani na kufungua mahakama maalumu ya wala rushwa.
Oktoba 25, mchague Magufuli kwa maendeleo bora.
Hakuna wa kuibeba ccm kwa sasa. Hali mbaya sana. Hao wanaozunguka kumsaidia ndo wanaharibu kabisaa.
(Hivi ccm hamjausoma waraka wa askofu Zackary Kakobe??)
Zachary Kakobe ndo nani? we kuwa mtulivu tukutane 25. October
Magufuli ni mgombea binafsi, kaja na Ilani mpya katikati ya safari.
Magufuli yupo ok, serikali yake itakuwa imara.
Kama katiba mpya siyo agenda, hata hiyo no 5 haina maana.[/QUOTE
Sheria ndogo ndogo ndizo zinazounda katiba,
Unasema??
Unasema??
Hujaelewa na ndio maana huelewi
Unasema??
Naona mtu mmoja account mbili hahahaah