Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwashee acha urongo Kinana zamu yake bado!Wakati Membe akitamba kuwa alienda mbele ya kamati ya maadili ya CCM kuwafunda na kuwaelimisha kuhusu mambo mbalimbali, Kinana amegoma kufika mbele ya kamati hiyo.
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, Kinana ameona ni kama kudharauliwa kwa kuitwa kuhojiwa mambo ambayo kimsingi ni malalamiko aliyotoa kuhusu namna alivyokuwa akipakwa matope na mtu anayejiita Cyprian Musiba. Inaelezwa kuwa aliyetakiwa kuitwa ni Musiba na siyo Kinana.
Tusubiri tuone.
Yaani mumchafue kupitia musiba, mumdukue, muingilie faragha yake kisha mumuite kamati ya maadili kuwa yeye ndo mtovu? huu ni uonevu mkubwa sana.
Kama hakwenda basi amefanya jambo la maana sana!
Sasa unavosema ameogopa, kaogopa kitu gani, kwani kuna mauaji mle huwa mnafanya?Ameogopa kwani anajua kosa lake. Huu ndiyo ulikuwa wakati mzuri wa yeye kwenda kuelezea upande wake wa shilingi. Kuitwa na kamati siyo kudharauliwa bali ni kusikilizwa!
kesi yake ni ya membe ,ambaye anadai kuchafuliwa kupitia gazeti la musiba,, ya kinana ni ishu nyingine haipo mahakamaniMtu akichukuliwa hatua bila kusikilizwa atasema sikupewa nafasi ya kusikilizwa.
Kaitwa asikilizwe anaona anaonewa kuitwa kusikilizwa Kama mtu anamalalamiko Lazima aitwe asikilizwe. Ili aeleze malalamiko yake.
Anataka aitwe Musiba kwenye chama ndio nayeye aitwe? Naona kama hoja hainamashiko kabisa ya kuitwa Musiba huenda Musiba anakesi mahakamani na chama hakiingilii hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Mpya, Mambo yame zidi kuwaka moto CCM, Bashiru , Polepole na wanahusika na hili sakata la barua za kina makamba na Kinana, limechukua sura mpya
Mk, awafokea Bashiru na Pole Pole , ataka kujua aliyevujisha habari, huku akijua kina Kinana waliombwa wasiseme kitu na wakajibu, isitokee kwenu.
Inavyosemekana anayeshukiwa sana ni PolePole kwani yeye alibanwa vizuri sana na Kinana, na hapendi kabisa.
Bashiru amefokewa vibaya sana hadi ameamua kuondoka officine na kwenda nyumbani, pressure imempanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aliyekuambia walimsubiri?!Kinana Alitakiwa kuwepo jana mbele ya kamati na wamesmubiri hakutokea
sijakuelewa mkuuHabari Mpya, Mambo yame zidi kuwaka moto CCM, Bashiru , Polepole na wanahusika na hili sakata la barua za kina makamba na Kinana, limechukua sura mpya
Mk, awafokea Bashiru na Pole Pole , ataka kujua aliyevujisha habari, huku akijua kina Kinana waliombwa wasiseme kitu na wakajibu, isitokee kwenu.
Inavyosemekana anayeshukiwa sana ni PolePole kwani yeye alibanwa vizuri sana na Kinana, na hapendi kabisa.
Bashiru amefokewa vibaya sana hadi ameamua kuondoka officine na kwenda nyumbani, pressure imempanda.
Sent using Jamii Forums mobile app