Kinana apata mapokezi ya kishindo Dar

kinana alijitahidi kukifia chama Ila alikua akiandamwa na msururu wa tuhuma
 
Pale mtangulizi wake alipoona WAHUNI hawafai yeye akaona wanafaa! Hata kama hujaenda shule kabisa wala hakuhitaji kutafsiri!
Hilo neno lilikuwa ni tafsiri ya mtangulizi wake....kwani ni lazima naye awe na TAFSIRI hiyo ?!!!

Kwani mtangulizi wake ndiye SI UNIT ya taifa hili ?!!!😳😳😳

#Siempre JMTπŸ™
#Tanzania Ipo Milele πŸ™
 
A Caboodle of swindlers......
Huwa nakumbuka comments zako kuhusu "hawa maveterani wa ujamaa" ambao bado wamekamata usukani wa maamuzi kwenye chama na serikali.

Huwa wanasema 'you cannot teach old dogs new stricts' sijajua kama huu msemo unafanya kazi mpaka huku kwetu.
 
Hiyo nchi yenu kama mtu hana connection kwenye matukio kama hayo utaishia tu kuwa mpiga makelele bila sababu za msingi.
 
Hilo neno lilikuwa ni tafsiri ya mtangulizi wake....kwani ni lazima naye awe na TAFSIRI hiyo ?!!!

Kwani mtangulizi wake ndiye SI UNIT ya taifa hili ?!!!😳😳😳

#Siempre JMTπŸ™
#Tanzania Ipo Milele πŸ™
Sasa unapinga nini na una kubali nini
 
Chama ndio kinaiagiza serikali. Kimeonesha kwa vitendo leo kwamba barakoa mitaani is no more. Hivyo isiwe kero kwa wasaidizi wa viongozi maana wengine wanavaa si kwa kupenda bali kwa vile wanao wasaidia wanavaa na ni ndio mabosi wao.
 


πŸ˜‚ akienda kwao Arusha nako apokelewe πŸ˜‚ Watanzania vituko kweli
 
Haya mafuriko ya kutengeneza hayajawahi kumuacha mtu salama.

Muulizeni Lowassa maana yeye yaliushamkuta!
 
Haya amabo kwangu siyaoni kama yana maana mpaka yapewe nafasi mitandaoni. Ni lini Taifa stars itapokewa kwa kishindo DSM? watanzania tumegubikwa sana na mambo ya kisiasa hata mtu kuja DSM iwe shangwe jamani? wenzetu NIGERIA walikuwa na kilio cha taifa timu yao ilipotolewa world cup. Sisi hapa tumefungwa home ground lakini kila mtu macho na masikio ni katika mambo ya kisiasa tuu. Taifa star hata kupeana pasi tatu tatu ili wafike half uwanja hawawezi. Jamani soka lina heshima popote pale duniani kuliko mambo ya siasa haya .
 
Huyu Kinana ni yule mhaini aliyemwita Rais aliyefia marakani kuwa ni mshamba?

Kweli CCM ni genge la wanafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…