Kinana atofautiana na Chongolo mkataba wa bandari

Hili likatibu ni limbwa koko
 
Yote ni Yale Yale tu,CCM ni moja tu
 
Huyu chongolo ukiangalia lile bichwa lake lilivyo utajua tu alinusurika kidogo tu kupata mtindio wa ubongo.
 
Hakuna mwanasiasa anayeweza kumpuuza Kinana. Ana uzoefu mkubwa kwenye uongozi.

Huyu Chongolo, kumpa nafasi kama hiyo ni kukifhalilisha chama. Ina maana. CCM yote, hakuna watu wenye uwezo wa kupewa nafasi ya Katibu mkuu wa chama zaidi ya Chongolo.
 
Kinana ameona image ya mama imefifia sana kaamua kuingia front mwenyewe badala ya kuwaachia chawa wa mama tu.
 
Ccm wanaweza mwambia kinana ni msaliti ajiuzuru, haiwezekani watendaji wa chama wakuu wakaja na ndimi mbili tofauti yani kwamba hawakai na kushauriana kabla ya kutoa kauli, ?

Lazima ichukulia kauli ya Chongolo kwa umakini sana kuliko ya Kinana ,tusipumbazwe , hoja hapa futilia mbali limkataba lenu
 
Hatimaye Mzee wetu Kinana amesema namuunga mkono 100%
 
Naona anahutubia Makada badala ya kuhutubia Wananchi wanaohoji

Hao makada woote wanaunga mkono hawahitaji kushawishiwa
 
Wamesoma upepo wameona wajigawe kipigwe cha magoli madogo😆....

Inaoneka kama 2025 kutakuwa na kusalitiana sana na nguvu kubwa itahitajika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…