Kinana atofautiana na Chongolo mkataba wa bandari

Kinana atofautiana na Chongolo mkataba wa bandari

Hivi huyu Chongolo ana elimu gani au naye ni zile design za kina Sofia Mjema......!!?
Sophia Simba ni Msomi wa Shahada mbili za Sheria University of Dar es salaam miaka ya mwanzo ya 1990s. kwny Siasa una behave kulingana na eneo unalofanyia Siasa

kuna watu mnawaona vilaza kumbe wana wachora na kuwacheka tu mnavyojiona mnajua sana, ku behave vile wanavyo behave kumewafanya hata hao wanaojiona wana akili kutamani kuwa kama wao

Ally Saleh na Sophia Simba kama sijakosea walikuwepo Udsm 1991 na walikuwa wanafunzi bora tu
 
Kwamba ukiuingia CCCm akili unaziacha mlangoni?

Sikubaliani nawe ktk hili, mbona Mpina ameingia nazo!!
 
Pale kafikishwa na JK
Usisahau Jakaya ni Mkufunzi mbobezi wa Siasa Jeshini

Jakaya ni Mtu mwenye akili na maarifa mengi

Jakaya ni mtu anaeweza kuficha Urafiki wake na Mtu fulani

Jakaya ni Mtu mwenye kipaji cha kutengeneza urafiki wa kudumu

kuna watu walishawahi kurudisha Vyeo Serikalini ma vya Kisiasa kwa sababu ya Jakaya
 
Kwamba ukiuingia CCCm akili unaziacha mlangoni?

Sikubaliani nawe ktk hili, mbona Mpina ameingia nazo!!
Wakati ana pima samaki kwa rula na kwenda kuchoma Nyavu zilizoingizwa kihalali na kulipiwa kodi zote za Serikali alikuwa anatokea Kenya kwanza au KANU?

Watu wanajitoa ufahamu waendelee kuishi Business class kwny Nchi ya Ujamaa na kujitegemea kama ulikuwa hujui

ungekuwa na bahati ya kuwa na mazoea binafsi nao na ungeelewa wakiwa huru kuzungumza nawe kama watu mlioshibana ungejua

mfano rahisi wa karibuni;

Waliounga mkono kwa hoja nzito nzito uamuzi wa kutovaa barakoa na kuchanja ndio hao hao walikuja na hoja nzito nzito za umuhimu wa kuvaa barakoa na kuchanja
 
Tanzania ni nchi nzuri yenye watu wenye upendo mwingi sana.

Tanzania unaonewa wivu mwingi na mataifa ya nje.

Mkataba wa DP World haukuwa na nia njema kwa Tanzania. Hii ni 100%

Watanzania tunapendana sana na tunampenda sana Raisi wetu SAMIA SULUHU HASSAN.

Kama nia ni kugombea 2025 SAMIA hakuhitaji chochote. kura angepewa tu kwakuwa Upinzani bado uko chini sana.

Huu Mkataba hauwezi kukubalika na labda niseme na Watanganyika.

Huu Mkataba haulengi kufanya kazi Bandarini bali Kuitawala Tanganyika.

Ushauri wangu kwa Raisi wetu Kipenzi.
2025 akigombea atashinda tu. Aachane na huu Mkataba feki. Watu wa karibu yake walikuwa wanawaza Uteuzi tu.
Sijui kama walipata muda wa kutulia, kuusoma na kuutafakari.

Mi sitaki atumbue watu. Airuhusu Mahakama itoe uamuzi wa haki maana kesi inaendelea.

Kwakweli sisi Watanganyika hatuupendi kabisa huu mkataba.

Ila tunapenda sana uwekezaji.

Inayumnikanaje DP World ndiye awe mmiliki wa Bandari zetu zote milele..!

Yaani hata kama hatataka kushusha makontena basi tumwulize kwa kumpigia magoti. Akikataa tuache afanye anachotaka.

Ni Ajabu na Kweli.
Kwani hao DP World ndio wenye pumzi ya uhai?

Kwani huyo Mwarabu ana shilingi ngapi za kutudhalilisha kiasi hiki?
Yaani ametudhalilisha sana sana sana sana sana.

Hizo hela tunataka kufanyia nini?
Waafrika Ngozi Nyeusi tubadilike.
Tunaonekana kama mitambala ya kudekia Chooni.

Sisi tunaojitambua hatuko tayari kutawaliwa na yeyote yule.
Awe Mzungu, Mkongomani, Mhindi au Mchina au Mkorea.
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana ametofautiana msimamo na Katibu Mkuu wa CCM kuhusu mkataba wa bandari.

Kinana anasema wamejitokeza watu wameanza kuhoji, wako wanaohoji kwa nia njema ya kujenga ya uzalendo, hatuwezi kusema kila anayehoji anania mbaya, wako wanaotetea mkataba na wametoa ushauri mzuri, serikali imesema itapokea kila ushauri utakaotolewa, Chama Cha Mapinduzi kimesema serikali isikilize, kwa hiyo serikali inasikiliza ushauri, inasikiliza hoja, haya yote yatafanyiwa kazi, haiwezekani Rais akapuuza haya yote.

Lakini Chongolo yeye anasema Serikali ianze utekelezaji haraka na isisikilize kelele za wajinga wanaopinga mkataba huo.

huyu katibu aisee, unajua nilishawahi kuconclude kitu kimoja kwamba, mawatu yenye miili mikubwaaa mabichwa makubwaaa kama hivi, yanakuwaga yamejaa maji tu, hayanaga akili hata yakiongea hakika unaona hapa halijipendei. ndio maana ukimtofautisha na KInana unaona kinana anaongea hoja ila huyo mwingine aisee hadi unamwonea huruma. jaribu kufanya research, tangu shule ulipokuwa unasoma, hadi makazini, mijitu yenye miili mikubwa hii inakuwaga imejaa maji tu kichwani huko hainaga akili.
 
Chongolo anatetea mshahara wake hajali masilahi ya nchi
Nasikia kuwa Chongolo alikuwa anaongea na Wachina kwa kutumia mkalimani. Kama kingereza cha Mchina kinamshinda kuna substance kweli kwenye hicho kinywa au ni matope... Just being curious!!
 
Ana kabachela ka hivi vyuo vya mchongo ( Open university).

Kithibitisho tosha kua ni mwenye matope kichwan.Yaan hii CCM ya Samia, Anza na Samia mwenyewe, Njoo Nape, January, Chongolo, Akina Mwana FA.. , Hawa ni wamichongoooo tupuu
Vyuo vyote bongo ni vya mchongo akuna chenye afadhali
 
Usisahau Jakaya ni Mkufunzi mbobezi wa Siasa Jeshini

Jakaya ni Mtu mwenye akili na maarifa mengi

Jakaya ni mtu anaeweza kuficha Urafiki wake na Mtu fulani

Jakaya ni Mtu mwenye kipaji cha kutengeneza urafiki wa kudumu

kuna watu walishawahi kurudisha Vyeo Serikalini ma vya Kisiasa kwa sababu ya Jakaya
Ni tapeli sn huyu mzee
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana ametofautiana msimamo na Katibu Mkuu wa CCM kuhusu mkataba wa bandari.

Kinana anasema wamejitokeza watu wameanza kuhoji, wako wanaohoji kwa nia njema ya kujenga ya uzalendo, hatuwezi kusema kila anayehoji anania mbaya, wako wanaotetea mkataba na wametoa ushauri mzuri, serikali imesema itapokea kila ushauri utakaotolewa, Chama Cha Mapinduzi kimesema serikali isikilize, kwa hiyo serikali inasikiliza ushauri, inasikiliza hoja, haya yote yatafanyiwa kazi, haiwezekani Rais akapuuza haya yote.

Lakini Chongolo yeye anasema Serikali ianze utekelezaji haraka na isisikilize kelele za wajinga wanaopinga mkataba huo.

Fafanuzi na fafanyuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom