Kinana atofautiana na Chongolo mkataba wa bandari

Unyumbu ni tabia ya watu waliopewa ghamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kutumikia malengo ya kundi fulani, (conflict of interest), ama uoga, (amygdala), kuogopa viongozi wao
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Tayari wamepoana,ccm waache wafiche moto kwenye boxer.
 
Chongolo ndio nani mkuu?
 
Acha uzushi Chongolo alisema mapema kabisa kwamba Serikali ilishasema inapokea maoni na watoa maoni wayawasilishe.

Mwisho Kinana ni mnufaika wa Bandari ukae ukijua so ana nongwa zake
 
SERIKALI NA CCM NI NDIMI MBILI
 
Hivi huyu Chongolo ana elimu gani au naye ni zile design za kina Sofia Mjema......!!?
Mkuu.... kwani haujaskiaga habari zake kuhusu elimu yake..??
Na haujaskia yule binti alie jinasibu kama mtoto wa marehem kaka yake akitoa za ndaaani sana....😊
 
Chongolo anatetea mshahara wake hajali masilahi ya nchi
 
Hii ni hatari sana.
 
Mkuu.... kwani haujaskiaga habari zake kuhusu elimu yake..??
Na haujaskia yule binti alie jinasibu kama mtoto wa marehem kaka yake akitoa za ndaaani sana....😊
Mkuu, tafadhari tuwekee habari hapa. Wengine hatujazipata.

Binafsi nimegundua kuwa huyu Chongolo ni bure kabisa. No wonder Bashite alikuwa anamtreat kivile.

Huyo Sofia Mjema ndiyo kabisa. Hafai hata Ubalozi wa nyumba 10 ....!!
 
Umepewa kazi maalum ya kutetea wezi wa rasilimali za Taifa
Rasilmali ipi hiyo iliyoibiwa, nikaitetea?

Kama ni dhahabu wakichimba wanatupiga kwa kuwaruhusu kwa shangwe na vifijo, tulipowazuia pia kwa shangwe na vifijo na sheria mpya, sasa hizohizo wanatpiga nazo bila kuchimba, wakiwa juu ya meza na video wanatuchukuwa kutuonesha tulivyo wajinga. Hujayaona? yote hayo yalifanywa na mtu mmoja, humuelewi?
 
Unashabikia kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika ufaidike na nini? Mnawauza watanganyika kwa waarabu kupitia bandari ili watoto wenu wanufaike zaidi?
 
Kale ka betina kakijiita kasomi pekee Tanganyika katawezaje kukubali hili bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…