Sophia Simba ni Msomi wa Shahada mbili za Sheria University of Dar es salaam miaka ya mwanzo ya 1990s. kwny Siasa una behave kulingana na eneo unalofanyia SiasaHivi huyu Chongolo ana elimu gani au naye ni zile design za kina Sofia Mjema......!!?
Kwamba ukiuingia CCCm akili unaziacha mlangoni?Sophia Simba ni Msomi wa Shahada mbili za Sheria University of Dar es salaam miaka ya mwanzo ya 1990s. kwny Siasa una behave kulingana na eneo unalofanyia Siasa
kuna watu mnawaona vilaza kumbe wana wachora na kuwacheka tu mnavyojiona mnajua sana, ku behave vile wanavyo behave kumewafanya hata hao wanaojiona wana akili kutamani kuwa kama wao
Ally Saleh na Sophia Simba kama sijakosea walikuwepo Udsm 1991 na walikuwa wanafunzi bora tu
Usisahau Jakaya ni Mkufunzi mbobezi wa Siasa JeshiniPale kafikishwa na JK
Wakati ana pima samaki kwa rula na kwenda kuchoma Nyavu zilizoingizwa kihalali na kulipiwa kodi zote za Serikali alikuwa anatokea Kenya kwanza au KANU?Kwamba ukiuingia CCCm akili unaziacha mlangoni?
Sikubaliani nawe ktk hili, mbona Mpina ameingia nazo!!
huyu katibu aisee, unajua nilishawahi kuconclude kitu kimoja kwamba, mawatu yenye miili mikubwaaa mabichwa makubwaaa kama hivi, yanakuwaga yamejaa maji tu, hayanaga akili hata yakiongea hakika unaona hapa halijipendei. ndio maana ukimtofautisha na KInana unaona kinana anaongea hoja ila huyo mwingine aisee hadi unamwonea huruma. jaribu kufanya research, tangu shule ulipokuwa unasoma, hadi makazini, mijitu yenye miili mikubwa hii inakuwaga imejaa maji tu kichwani huko hainaga akili.Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana ametofautiana msimamo na Katibu Mkuu wa CCM kuhusu mkataba wa bandari.
Kinana anasema wamejitokeza watu wameanza kuhoji, wako wanaohoji kwa nia njema ya kujenga ya uzalendo, hatuwezi kusema kila anayehoji anania mbaya, wako wanaotetea mkataba na wametoa ushauri mzuri, serikali imesema itapokea kila ushauri utakaotolewa, Chama Cha Mapinduzi kimesema serikali isikilize, kwa hiyo serikali inasikiliza ushauri, inasikiliza hoja, haya yote yatafanyiwa kazi, haiwezekani Rais akapuuza haya yote.
Lakini Chongolo yeye anasema Serikali ianze utekelezaji haraka na isisikilize kelele za wajinga wanaopinga mkataba huo.
Nasikia kuwa Chongolo alikuwa anaongea na Wachina kwa kutumia mkalimani. Kama kingereza cha Mchina kinamshinda kuna substance kweli kwenye hicho kinywa au ni matope... Just being curious!!Chongolo anatetea mshahara wake hajali masilahi ya nchi
Vyuo vyote bongo ni vya mchongo akuna chenye afadhaliAna kabachela ka hivi vyuo vya mchongo ( Open university).
Kithibitisho tosha kua ni mwenye matope kichwan.Yaan hii CCM ya Samia, Anza na Samia mwenyewe, Njoo Nape, January, Chongolo, Akina Mwana FA.. , Hawa ni wamichongoooo tupuu
Ni tapeli sn huyu mzeeUsisahau Jakaya ni Mkufunzi mbobezi wa Siasa Jeshini
Jakaya ni Mtu mwenye akili na maarifa mengi
Jakaya ni mtu anaeweza kuficha Urafiki wake na Mtu fulani
Jakaya ni Mtu mwenye kipaji cha kutengeneza urafiki wa kudumu
kuna watu walishawahi kurudisha Vyeo Serikalini ma vya Kisiasa kwa sababu ya Jakaya
Fafanuzi na fafanyuziMakamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana ametofautiana msimamo na Katibu Mkuu wa CCM kuhusu mkataba wa bandari.
Kinana anasema wamejitokeza watu wameanza kuhoji, wako wanaohoji kwa nia njema ya kujenga ya uzalendo, hatuwezi kusema kila anayehoji anania mbaya, wako wanaotetea mkataba na wametoa ushauri mzuri, serikali imesema itapokea kila ushauri utakaotolewa, Chama Cha Mapinduzi kimesema serikali isikilize, kwa hiyo serikali inasikiliza ushauri, inasikiliza hoja, haya yote yatafanyiwa kazi, haiwezekani Rais akapuuza haya yote.
Lakini Chongolo yeye anasema Serikali ianze utekelezaji haraka na isisikilize kelele za wajinga wanaopinga mkataba huo.