KINANA: CCM inatawala na itatawala kwa muda mrefu kwa sababu ya "demokrasia" iliyoko ndani ya CCM

Hakuna mtu kakataa hili,
Isingekuwa the state kuwagomea Kuwa lazima katiba ipatikane UNAFIKIRI Chadema mngewaacha !!? Kama mlifikia hatua kuwakamata Hadi makanisani kwa kuvaa t-shirt za Katiba Mpya!!?

UNAFIKIRI ccm mnaitaka katiba!!?

Ili ccm ipone kisu cha katiba Namna PEKEE ni kuiua ccm na kuzalisha chama KIPYA ambacho wananchi watakiamini!!!

Ccm inaenda kufa Rasmi Baada ya katiba kupatikana!

ASANTE The state kwa Katiba mpya!!
 
Iko siku atarudi kwao msumbiji.
 
Usishangae Kinana aliposema maneno hayo kuna wanaccm walishangilia huo utapeli!
Mkuu utapeli upi tena?

Sasa hivi mnaishi kwa kupnda raha baada ya dhalimu wenu kufariki!

Mnainjoi democrasia hata 2025 mtagawana pasu kwa pasu madaraka na ccm
 
Kama kitaendelea kutawala so what?
 
Ukimsikia kiongozi wa chama anaongea hivi na mwelekeo wadunia + aina ya uchumi tunao nadhani unaanza kulia bila kupigwa. Wengi hawajuwi najuwa ila siku ikifika itakuaa siku ngumu sana ole wao watakao kuwa na mimba au wanaumwa itakuwa siku mbaya sana nibora leo kama Taifa tuome kesho natuseme tunaondokana na siasa za chama dola.
 
Upinzani hoja yenu ni ipi hasa?
 
Tulishuhudia JPM akiprint form moja hapa juzi tu. Aliyeonyesha nia ya kugombea uraisi bwana membe alifukuzwa chamani hapa ndiyo demokrasia hiyo? Kununua wapinzani na kuwapa nafasi ya kugombea majimbo yaleyale nayo ni demokrasia?
Embu tuacheni bhana
Nyie mnatawala muda mrefu kwa ujinga wa watanzania
 
Huyu mzee aache kuongea sana..alambe asali akisubiri kifo.

Kijani inabebwa na vyombo vya dola..ukiindolea vyombo vya dola hata wakishindanishwa na anc ile ya dovutwa wanapigwa mchana mweupe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huenda ukafa ukamuacha, Mzee Kinana Chapa kazi
 
Sio kwamba itatawala muda mrefu kwa vile Mungu aliamua ugomvi!? (kwa sauti ya Nape)!
 
Simba na Yanga zinanua marefa na wachezaji wa wapinzani wao. Baadaye wanatamba kuhusu ushindi ambao wanajua kwamba wametumia njia haramu.
Hao ndiwo sisi, Watanzania.
 
Ni kazi ya upinzani kupandikiza ushawishi mbadala.
Vyama vya upinzani sijuhi vinafeli wapi??Yaani kwa katiba tuliyonayo ,tume ya uchaguzi na Sheria nyingine nyingi wanakuwa na ujasiri gani wa kushindana na CCM??Mimi ata sisi wananchii tumelisariti taifa vya kutosha hakuna haja ya kuwalalamikia viongozi.Unawezaje kudhubutu kuanzisha CHAMA au kuingia kwenye uchaguzi ukiwa unajua hakuna Sheria ya kukulinda??Yaani mechi ya Simba na YANGA refa ni Manara unategemea nini?Chaguzi Zote tangu mwaka 1995 ni kuchezea rasilimali za umma ni ufisadi ambao hautajwi.mimi nikipata mamlaka lazima walioidhinisha fedha za uchaguzi wangezirudisha ningewafilisi.
 
Reactions: Tsh
Hii nchi ilikuwa ya chama kimoja. Vyama vingi ni matakwa ya kimataifa sidhani kama ni matakwa yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…