OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Imagine aiseeHuu ni upuuzi tu.
Sijajua anamaanisha nini. Aliyeelewa anisaidie!
YESU ndiye BWANA!!!
Hawa watajuana wenyewe na mambo yao siye letu ni moja tuu TUNATAKA KATIBA MPYA"Kasema CCM sio chombo cja serikali, CCM haitokani na Serikali, ila Serikali zote mbili (Tanzania na Zanzibar) zinatokana na CCM, CCM haipokei maagizo kutoka serikalini, ila serikali inapokea maagizo kutoka CCM, hii ni kupitia ilani na sera zilizotungwa na viongozi mbali mbali wa serikali!"
Huu ni ujumbe mzito samaa kwa team sukuma Gang
Hapa naona kuna watu wanaenda kunyooshwa
upuuzi ni upi? serikali si inawekwa na chama?Huu ni upuuzi tu.
Huko chamani Jiwe alikuwa akiingia kama Rais wa nchi (mkuu wa serikali) ama kama Mwenyekiti wa chama?????Wakati wa jiwe serikali ilikuwa na mkono mrefu sana hadi huko chamani
Point ya msingi sana, hapo ndipo ulipo mustakabali wa taifa hiliHawa watajuana wenyewe na mambo yao siye letu ni moja tuu TUNATAKA KATIBA MPYA
Kinana anaingia na gia kubwa lakini atatulizwa...Watanzania sio wajinge tena
Enzi zake alitamba lkn nyakati zimebadilika.
Ikiwa JPM alivimbiwa hadi akaanza kutumia risasi naye ajiandae
Katiba inasemaje kuhusu raisi aliyekataliwa na chama chake na kuvuliwa uanachama?Huko chamani Jiwe alikuwa akiingia kama Rais wa nchi (mkuu wa serikali) ama kama Mwenyekiti wa chama?????
Hivi Rais akiamua kutokuifuta ilani ya chama chake wala kuwasikiliza kwa chochote, je, chama kina meno gani juu yake. Maana nikiiangalia Katiba ya nchi sioni chama kikitajwa katika yale mambo yanayoweza kumuondoa Rais madarakani.
JESUS IS LORD!