BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Hii dunia haipo fair tunaongozwa na watu wasio na akili..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kosa hapo likowapi kaongea ukweli ccm ndo yenye serikali sio serikali yenye ccm ndomana halisi ya chama tawalaHii dunia haipo fair tunaongozwa na watu wasio na akili..
"Kasema CCM sio chombo cha serikali, CCM haitokani na Serikali, ila Serikali zote mbili (Tanzania na Zanzibar) zinatokana na CCM, CCM haipokei maagizo kutoka Serikalini, ila Serikali inapokea maagizo kutoka CCM, hii ni kupitia ilani na sera zilizotungwa na viongozi mbali mbali wa Serikali!"
Huu ni ujumbe mzito samaa kwa team sukuma Gang
Hapa naona kuna watu wanaenda kunyooshwa
Mbona Bunge huwa linapokea maelekezo toka serikalini.Chama ndicho kinaunda serikali.. kwa hiyo ni sahihi: kwa sasa CCM ndiyo maboss na wana haki ya kuisimamia serikali kuhakikisha wanatekeleza ilani yake.
We endelea kushabikia huu uozo, bora kupitia bwana yule hiki chama kilivurugwa hata kingekufa. Sasa tegemea ile sisiem mbele kwa mbele."Kasema CCM sio chombo cha serikali, CCM haitokani na Serikali, ila Serikali zote mbili (Tanzania na Zanzibar) zinatokana na CCM, CCM haipokei maagizo kutoka Serikalini, ila Serikali inapokea maagizo kutoka CCM, hii ni kupitia ilani na sera zilizotungwa na viongozi mbali mbali wa Serikali!"
Huu ni ujumbe mzito samaa kwa team sukuma Gang
Hapa naona kuna watu wanaenda kunyooshwa
Ni. Kweli kwamba kwa mfumo wetu ili ushike dola inakupasa kuwa na chama.
Na kwenye uchaguzi huwa sera zinanadiwa za vyama mbali mbali.
Lakini sasa ukishashika dola kinachoangaliwa ni interest za Wananchi na sio za Chama.
Hivyo kusema kwamba Chama Kipo juu ya serikali huko ni kujipa mamlaka makubwa sana yanayokwenda kinyume cha katiba.
Serikali haipaswi kusikiliza maagizo ya chama, kwani yenyewe ndio taasisi yenye mamlaka ya juu kikatiba.
Bali chama kinapaswa Kuishauri serikali.
achana na yule mzee alikuwa wa hovyoo
Alithubutu kuwaambia wananchi wake kuwa hawakupata maendeleo kwa sababu walichagua chama kingine ...
JESUS IS LORD
You can say that again !!!
Yuko sahihi kwasababu serikali inatumia policy's za sisiemu......