Kinana: CCM ni kubwa kuliko Serikali

Hii dunia haipo fair tunaongozwa na watu wasio na akili..
 

Kunyooshwa?!

 
Chama ndicho kinaunda serikali.. kwa hiyo ni sahihi: kwa sasa CCM ndiyo maboss na wana haki ya kuisimamia serikali kuhakikisha wanatekeleza ilani yake.
Mbona Bunge huwa linapokea maelekezo toka serikalini.
Tozo,
Kikokoto,
Wabunge hewa,
Kudemka au msidemke hadi serekale iseme.
Tuchanje au tusichanje(Serekale itamke)
Mtendaji mkuu wa chama ni katibu mkuu,kweli atamwelekeza aliyemteua kuwa CCM ndio inatoa mwongozo?
 
We endelea kushabikia huu uozo, bora kupitia bwana yule hiki chama kilivurugwa hata kingekufa. Sasa tegemea ile sisiem mbele kwa mbele.
Serkali ni mhuri wao wa kuthibitishia wanachotaka. Hutakaa usikie katiba mpya wala ya zamani
 
Kumbe una akili za kutosha ila zamani za jiwe ulikuwa unajitoa ufahamu tu!
 
ccm kubwa kuliko serikali? serikali ina jeshi. ccm haina jeshi. serikali ina polisi. ccm haina polisi. kama ni kweli kinana ungeyasema haya mbele ya jpm wakati hujajiuzulu ili upate majibu ya jpm kama ccm ni kubwa kuliko serikali mbona uliondolewa na serikali katika chama
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…