Kupata mapato hutegemea na biashara Bukoba wanategemea kilimo sanaKAGERA: "Kagera ni mkoa wenye biashara, una ardhi nzuri yenye rutuba, wasomi wa kutosha wakiwemo maprofesa 666, lakini ni mmoja wa mikoa yenye mapato madogo zaidi.
“Kila kitu mnacho kwa nini mapato ya mkoa huu yapo chini kuliko mikoa yote? amehoji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana - Kagera, Desemba 11, 2023.
-View attachment 2839736
#HabarileoUPDATES
Huyu sasa anatafuta ugomvi mkubwa na akina "Nshomile."KAGERA: "Kagera ni mkoa wenye biashara, una ardhi nzuri yenye rutuba, wasomi wa kutosha wakiwemo maprofesa 666, lakini ni mmoja wa mikoa yenye mapato madogo zaidi.
“Kila kitu mnacho kwa nini mapato ya mkoa huu yapo chini kuliko mikoa yote? amehoji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana - Kagera, Desemba 11, 2023.
-View attachment 2839736
#HabarileoUPDATES
Tangu lini white color jobs zikazalisha wazalisha Mali tofauti na wezi wa kalamu na wavivu?KAGERA: "Kagera ni mkoa wenye biashara, una ardhi nzuri yenye rutuba, wasomi wa kutosha wakiwemo maprofesa 666, lakini ni mmoja wa mikoa yenye mapato madogo zaidi.
“Kila kitu mnacho kwa nini mapato ya mkoa huu yapo chini kuliko mikoa yote? amehoji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana - Kagera, Desemba 11, 2023.
#HabarileoUPDATES
Ndio maana napinga kabisa mfumo wa Utawala uliopo Kwa sababu hakuna maana wengine mvuje jasho harafu wafaidi wengine.Hizo mikoa zinazochangia zaidi zinafaidika na michango yao?
Ndio maana napinga kabisa mfumo wa Utawala uliopo Kwa sababu hakuna maana wengine mvuje jasho harafu wafaidi wengine.
Mfano mzuri ni Mbeya,Ina GDP namba 3 Tanzania lakini Haina miundombinu inayofanana na jasho ambalo watu wake wanatoa,badala yake pesa zetu zinajengwa Dar,Dodoma,Arusha,Tanga na Mwanza.
Sio lazima majimbo,hata Kwa Mikoa hii hii inawezekana kuweka kanuni za mgawanyo mzuri kadiri ya mchango na kugatua madaraka mikoani.Si mnapinga utawala wa majimbo?
Ni uhuni kwakweli ...Ndio maana napinga kabisa mfumo wa Utawala uliopo Kwa sababu hakuna maana wengine mvuje jasho harafu wafaidi wengine.
Mfano mzuri ni Mbeya,Ina GDP namba 3 Tanzania lakini Haina miundombinu inayofanana na jasho ambalo watu wake wanatoa,badala yake pesa zetu zinajengwa Dar,Dodoma,Arusha,Tanga na Mwanza.
Haya mambo ndio wayaweke vizuri kwenye dira ya TaifaNi uhuni kwakweli ...
Manispaa kama kahama wanasifika kwa kuchangia tu
Wao hawapati chochote in return...