Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
666 namba ya mpinga kristo.KAGERA: "Kagera ni mkoa wenye biashara, una ardhi nzuri yenye rutuba, wasomi wa kutosha wakiwemo maprofesa 666, lakini ni mmoja wa mikoa yenye mapato madogo zaidi.
“Kila kitu mnacho kwa nini mapato ya mkoa huu yapo chini kuliko mikoa yote? amehoji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana - Kagera, Desemba 11, 2023.
#HabarileoUPDATES
Lakini najiuliza, maprofesa ni vyanzo vya mapato ya mkoa au?
Kinana anazeeka vibaya kwa kasi ya 7G