Kinana: Kagera Maprofesa 666 ila mapato kiduchu

Kinana: Kagera Maprofesa 666 ila mapato kiduchu

KAGERA: "Kagera ni mkoa wenye biashara, una ardhi nzuri yenye rutuba, wasomi wa kutosha wakiwemo maprofesa 666, lakini ni mmoja wa mikoa yenye mapato madogo zaidi.

“Kila kitu mnacho kwa nini mapato ya mkoa huu yapo chini kuliko mikoa yote? amehoji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana - Kagera, Desemba 11, 2023.

#HabarileoUPDATES
Hiyo namba 666 ndo tatizo linapoanzia
 
Hakuna profesor tajiri duniani

Ukisoma sana uhitaji wa mali haupo tena

Yaani huwa wanaona kila kitu wamemaliza

Kadiri unavyozidi kusoma unakuwa muelewa wa jambo 1 na mengine yote unazidi kuwa mjinga.

Elimu haitaki biashara ila biashara inataka elimu ukishapata big capital
 
Ni rfk angu Ni muhsya Ana CPA ila Sasa Ni mtu mjinga Sana Hana haraka zozote anatakba na CPA tu
 
Hakuna profesor tajiri duniani

Ukisoma sana uhitaji wa mali haupo tena

Yaani huwa wanaona kila kitu wamemaliza

Kadiri unavyozidi kusoma unakuwa muelewa wa jambo 1 na mengine yote unazidi kuwa mjinga.

Elimu haitaki biashara ila biashara inataka elimu ukishapata big capital
Zaidi ya kuwa na theories nyingi,mwambie abadili porojo kuwa hela hamna kitu chalii 😁😁
 
Huyu naye ni mbumbu wa uchumi.
Tumuulize yeye serikali ya CCM imejenga viwanda vingapi, vyuo vingapi, kwa nini wanazuia mkulima wa kahawa asiuze Uganda wenye Bei nzuri.
Ukiona Dar, waliojenga uchumi siyo wazaramo.
Wawekezaji wanawekeza kulingana na mazingira mazuri yaliyoandaliwa na serikali
Serikali Huwa haijengi viwanda Bali watu binafsi.Jengeni viwanda punguzeni mdomo
 
KAGERA: "Kagera ni mkoa wenye biashara, una ardhi nzuri yenye rutuba, wasomi wa kutosha wakiwemo maprofesa 666, lakini ni mmoja wa mikoa yenye mapato madogo zaidi.

“Kila kitu mnacho kwa nini mapato ya mkoa huu yapo chini kuliko mikoa yote? amehoji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana - Kagera, Desemba 11, 2023.

#HabarileoUPDATES
Meno ya tembo
 
Ndio maana napinga kabisa mfumo wa Utawala uliopo Kwa sababu hakuna maana wengine mvuje jasho harafu wafaidi wengine.

Mfano mzuri ni Mbeya,Ina GDP namba 3 Tanzania lakini Haina miundombinu inayofanana na jasho ambalo watu wake wanatoa,badala yake pesa zetu zinajengwa Dar,Dodoma,Arusha,Tanga na Mwanza.
Umesahau visiwani
 
KAGERA: "Kagera ni mkoa wenye biashara, una ardhi nzuri yenye rutuba, wasomi wa kutosha wakiwemo maprofesa 666, lakini ni mmoja wa mikoa yenye mapato madogo zaidi.

“Kila kitu mnacho kwa nini mapato ya mkoa huu yapo chini kuliko mikoa yote? amehoji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana - Kagera, Desemba 11, 2023.

#HabarileoUPDATES
Sasa kama hakuna uwekezaji wa kiserikali mapato yatapatikanaje? Hata hivyo hicho kinachopatikana kinatokana na juhudi binafsi za wana kagera! Hiyo hela inatoka moja kwa moja kutoka katika mikono na viganja vya wanakagera Sio kama Dar wachangiaji wa mapato ni matajiri wakubwa hili hali wengi makabwera!
 
Back
Top Bottom