Kinana: Kagera Maprofesa 666 ila mapato kiduchu

Hiyo namba 666 ndo tatizo linapoanzia
 
Hakuna profesor tajiri duniani

Ukisoma sana uhitaji wa mali haupo tena

Yaani huwa wanaona kila kitu wamemaliza

Kadiri unavyozidi kusoma unakuwa muelewa wa jambo 1 na mengine yote unazidi kuwa mjinga.

Elimu haitaki biashara ila biashara inataka elimu ukishapata big capital
 
Ni rfk angu Ni muhsya Ana CPA ila Sasa Ni mtu mjinga Sana Hana haraka zozote anatakba na CPA tu
 
Zaidi ya kuwa na theories nyingi,mwambie abadili porojo kuwa hela hamna kitu chalii 😁😁
 
Serikali Huwa haijengi viwanda Bali watu binafsi.Jengeni viwanda punguzeni mdomo
 
Meno ya tembo
 
Umesahau visiwani
 
Sasa kama hakuna uwekezaji wa kiserikali mapato yatapatikanaje? Hata hivyo hicho kinachopatikana kinatokana na juhudi binafsi za wana kagera! Hiyo hela inatoka moja kwa moja kutoka katika mikono na viganja vya wanakagera Sio kama Dar wachangiaji wa mapato ni matajiri wakubwa hili hali wengi makabwera!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…