Kinana, Mbowe, Vuai, Mnyika, Chenge na Heche wajifungia kwa vikao vya saa 4 Courtyard

Kinana, Mbowe, Vuai, Mnyika, Chenge na Heche wajifungia kwa vikao vya saa 4 Courtyard

Kinana atakuwa anawafundisha siasa...waachane na harakati za mahakamani..wajue siasa..
Wajue Ku compromise madogo ili wapate makubwa...
Siasa sio kushinda Kesi mahakamani
Kwani chadema ndio walienda mahakamani au wamepelekwa mahakamani?
 
Kuna siku CCM, CDM na ACT wataamka watajikuta wapo out of touch na wananchi.

Hawa vijana chini ya 30 watakuja kubadilisha siasa za hii nchi.
Mfano akitokea muhuni kama Mseven wa Uganda,itakuwa powa sana.
 
Hakuna haja ya majadiliano katiba ifuatwe full stop.
 
Kuna siku CCM, CDM na ACT wataamka watajikuta wapo out of touch na wananchi.

Hawa vijana chini ya 30 watakuja kubadilisha siasa za hii nchi.
Vijana wenyewe ndio hawa wanawaza mbususu tu kila wakat??
Sidhaniiiii
 
Back
Top Bottom