Kabuche1977
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 564
- 228
yah it ws fantastic, Dr. Slaa alikuwa anachambua sera na jinsi ya kuwatumikia wananchi, pia ameongelea suala la wakuu wa Wilaya, amesema haoni sababu ya wilaya kuwa na mkuu wa wilaya wakati kuna mkurugenzi wa wilaya, amesema hakuna mantiki yoyote na pia amesema haoni sababu ya kuwa mawaziri wengi na manaibu wake wakati utekelezaji wa sera za chama hufanyika just for a short time from time being elected by the president, na pia hahitaji baraza kubwa la mawaziri just for answering questions ndani ya mjengo, kusema ukweli kalikuwa kamdahalo kazuri though Kinana hakuna alilokuwa anaongea, yeye sio mgombea, it is shame on them, so hakuna tulichosikia toka ccm zaidi ya kinana kumsifia jamaa na kuorodhesha walichofanya ccm, it was none sense actually, enzi hizi sio za kumsemea mtu, let him speak for himself