Elections 2010 Kinana na Dr Slaa - Live Star TV

Elections 2010 Kinana na Dr Slaa - Live Star TV

Dk wa ukweli anaangusha mawe, kinana anajaribu kutetea serikali
 
Mtangazaji huyu sijui star tv wamemtoa wapi! Hastahili kumhoji rais au mgombea urais discipline yake ni ndogo anacheka cheka hovyo na miguno ya ajabu ajabu!
Huyu dada wa kwa kinana anaogopa mwangalieni kwa umakini hayupo comfortable kabisa! Nipo radhi kukosolewa!
 
anazungumzia umuhimu kufuta nafasi za wakuu wa wilaya .ili fungu lilokuwa linagharamia ofisi hiyo itaelekezwa kwenye kuondoa umaskini wa tz. cha msingi ni kuangalia maendeleo ya mtz kuliko majengo ya wilaya
 
anatetea hoja ya kujenga reli mpya ya kisasa ya umeme kwani kwenye nia pana njia
 
kinana amekiri kikwete katoa ahadi nyingi kama alivyotoa 2005. kwa ccm kuna ahadi za ccm ktkna na ilani na kuna ahadi binafsi za kikwete.anadai za ccm zimetekelezeka asimia 90. anasema anamueshimu dr.slaa.anadai tusiwe na wasiwasi kuhusu ahadi zinazoonekana hazitekelezeki
 
Huyu kinena vp? Eti shule zina walimu na vitabu, eti sasa mwalimu 1 kwa wanafunzi 54
 
anadai ana matumaini ya ushindi .anakubali wingi wa watu wanaokwenda kumsikiliza dr slaa .anadai maendeleo ya barabara kama mtaji wao.anakubali mapungufu kwenye utekelezaji.ana quote synovate na redet kwamba wtz wanawakubali. anakiri kwamba mpaka sasa kampeni zinaenda kwa staa tofauti na kauli za jeshi.akidai imatokana na chama kimoja cha siasa kudai kumwaga damu.mazungumzo yanaendelea lakini picha za wagombe dr slaa na ndugu kikwete wakiwa kwenye kampeni.
 
Wanampa kinena ah sorry kinana muda mwingi sana kuliko Dk wa ukweli sijui imekaaje hii
 
Huyu kinena vp? Eti shule zina walimu na vitabu, eti sasa mwalimu 1 kwa wanafunzi 54

mkuu nadhani ni typing error ila jamaa anaitw kinana.
Hapa nimekumbuka documentary moja ya nduli idi amini alikuwa anajigamba mbele ya waandishi wa habari kuwa uganda inaongoza kwa kuwa na wakurugenzi wa kike duniani
mwandishi mmoja akamuuliza wapo wangapi hao wakurugenzi?idi amini alipomuuliza waziri wake waziri akasema kuna mkurugenzi wa kike mmoja tu. Basi waandishi walichoka.
 
Kinana anadai kutokumbuka wafanya tafiti wa TCIB.kwamba hawajulikani. anaamini redet na synovate kwani wanajulikana anadai tcib ni ya chadema. anapewa muda mwingi . Dr slaa anaomba kinana athibitishe kama tcib viongozi wake ni wakurugenzi wa chadema. amemuusisha dr bana wa redet kama mshauri wa kikwete. anazungumzia suala ka wizi kwamba mahakama kuu ilionyesha kuwa ccm iliiba kura kwenye uchaguzi wa karatu hayo yaliojidhiirisha kwenye kesi iliofunguliwa dhidi yake.
 
dr slaa anazungumzia wizi wa kura hazifanyiki kwnye sanduku la kura bali karatasi ya majumuisho fomu ma 21 ambayo sasa imebadilishwa namba. anazumgumzia kwamba dr kamala hakuwa makini kuamua protocal ya EAC .Anadai ni mkatac mbovu kabisa haukungalia mazingira halisi ya watz.anazungumzia tofauti za kodi kwa EAC. CCM wameiga sera ya chadema kuhusu chuo kikuu dodoma
 
Pole Dr unazungumza na mla watu. Kinana msomali unategemea nini hata kama ataona damu inamwagika ndugu zake walishakufa kwa kuua huko somalia.
Jamani mbona raia mwema na tanzania daima zinachukua muda kuonekana kwenye mtandao? kuna nini?
Points anazomwaga dr ukilinganisha na mtu ambae alianguka mitihani bila shaka unaona umuhimu wa elimu na uelewa wa mtu. JK hata akizungumza kwenye mikutano ya kimataifa watu tunasema sio raisi wetu. Lugha yenyewe tabu hana tofauti na kanumba.
Achana na msomali anatupotezea muda. Mwite Jk usikie utumbo.
 
Huyu kinena vp? Eti shule zina walimu na vitabu, eti sasa mwalimu 1 kwa wanafunzi 54


bwa ha ha ha ha (kwetu sambaani tunaita (KISHTOBE)

kumbe Dr. Slaa anahasira??? huyu mwandishi mwehu sana, walitegemea watam'drive Dr.(PHd) wa ukweli. huyu mwingine kweli KINENA.
 
Back
Top Bottom