anadai ana matumaini ya ushindi .anakubali wingi wa watu wanaokwenda kumsikiliza dr slaa .anadai maendeleo ya barabara kama mtaji wao.anakubali mapungufu kwenye utekelezaji.ana quote synovate na redet kwamba wtz wanawakubali. anakiri kwamba mpaka sasa kampeni zinaenda kwa staa tofauti na kauli za jeshi.akidai imatokana na chama kimoja cha siasa kudai kumwaga damu.mazungumzo yanaendelea lakini picha za wagombe dr slaa na ndugu kikwete wakiwa kwenye kampeni.