Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Ndivyo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa mstaafu Ndugu Abdulhaman Kinana walivyokutana uso kwa uso na kubadilishana mawazo na stori za hapa na pale walipokuwa msibani kwa Marehemu Jenerali David Msuguri.
Ambapo kulikuwa na shughuli za kuaga Mwili wake Hospitali kuu ya jeshi Lugalo. Ikumbukwe kuwa au Nawakumbusha ya kuwa Mheshimiwa Dkt Jakaya Kikwete na Mheshimiwa Abdulhaman Kinana ni viongozi wenye historia ndefu sana na ya kipekee sana na ambao waweza kusema ya kuwa wameshibana kiurafiki.
Wamefanya kazi pamoja kwa muda mrefu sana na kwa kuaminiana sana. Lakini pia nawakumbusheni ya kuwa hawa wote ni Wanajeshi walioiva kisawasawa na wenye kujua mbinu zote za kijasusi na hivyo waweza kusema ni Majasusi walioiva
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.