Kinana na Jakaya Kikwete ana kwa ana msibani kwa Jenerali David Musuguri

Usiumie vipi wakati wewe ni chawa usiyeweza kuandika hata sentensi moja ya kiingereza??

Huwa unaandika manyuzi yako marefu ya kiswahili kibovu hapa jukwaani. Hujawahi hata siku moja kuandika uzi hata wa sentensi moja wa kiingereza.

Poor Lucas Mwashambwa !!
Mimi nakitangaza kiswahili na kukipeleka anga la kimataifa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hivi Ndivyo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa mstaafu Ndugu Abdulhaman Kinana walivyokutana uso kwa uso na kubadilishana mawazo na stori za hapa na pale walipokuwa msibani kwa Marehemu Jenerali David Msuguri.

Ambapo kulikuwa na shughuli za kuaga Mwili wake Hospitali kuu ya jeshi Lugalo. Ikumbukwe kuwa au Nawakumbusha ya kuwa Mheshimiwa Dkt Jakaya Kikwete na Mheshimiwa Abdulhaman Kinana ni viongozi wenye historia ndefu sana na ya kipekee sana na ambao waweza kusema ya kuwa wameshibana kiurafiki.

Wamefanya kazi pamoja kwa muda mrefu sana na kwa kuaminiana sana. Lakini pia nawakumbusheni ya kuwa hawa wote ni Wanajeshi walioiva kisawasawa na wenye kujua mbinu zote za kijasusi na hivyo waweza kusema ni Majasusi walioivaView attachment 3143299

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Pumba
 
Wajadiliane watuletee mgombee wa CCM Mwanaume mwadilifu mwenye hofu ya Mungu ifikapo 2025
 
Unda chama chako ndio uweke mgombea wako Mwanaume.CCM mgombea wetu ni Mama yetu Mpendwa na shujaa wetu Mheshimiwa Daktari Rais Samia Suluhu Hasssan
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hivi Ndivyo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa mstaafu Ndugu Abdulhaman Kinana walivyokutana uso kwa uso na kubadilishana mawazo na stori za hapa na pale walipokuwa msibani kwa Marehemu Jenerali David Msuguri.

Ambapo kulikuwa na shughuli za kuaga Mwili wake Hospitali kuu ya jeshi Lugalo. Ikumbukwe kuwa au Nawakumbusha ya kuwa Mheshimiwa Dkt Jakaya Kikwete na Mheshimiwa Abdulhaman Kinana ni viongozi wenye historia ndefu sana na ya kipekee sana na ambao waweza kusema ya kuwa wameshibana kiurafiki.

Wamefanya kazi pamoja kwa muda mrefu sana na kwa kuaminiana sana. Lakini pia nawakumbusheni ya kuwa hawa wote ni Wanajeshi walioiva kisawasawa na wenye kujua mbinu zote za kijasusi na hivyo waweza kusema ni Majasusi walioivaView attachment 3143299

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hao maswahiba toka "utotoni".
 
Lucas.....
 
Back
Top Bottom