Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #21
Mimi nakitangaza kiswahili na kukipeleka anga la kimataifaUsiumie vipi wakati wewe ni chawa usiyeweza kuandika hata sentensi moja ya kiingereza??
Huwa unaandika manyuzi yako marefu ya kiswahili kibovu hapa jukwaani. Hujawahi hata siku moja kuandika uzi hata wa sentensi moja wa kiingereza.
Poor Lucas Mwashambwa !!
Usiitikie Kinyonge bali sema ili tufanye mawasiliano na ndugu zako upelekwe haraka sana.Haya bhana
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Ndivyo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa mstaafu Ndugu Abdulhaman Kinana walivyokutana uso kwa uso na kubadilishana mawazo na stori za hapa na pale walipokuwa msibani kwa Marehemu Jenerali David Msuguri.
Ambapo kulikuwa na shughuli za kuaga Mwili wake Hospitali kuu ya jeshi Lugalo. Ikumbukwe kuwa au Nawakumbusha ya kuwa Mheshimiwa Dkt Jakaya Kikwete na Mheshimiwa Abdulhaman Kinana ni viongozi wenye historia ndefu sana na ya kipekee sana na ambao waweza kusema ya kuwa wameshibana kiurafiki.
Wamefanya kazi pamoja kwa muda mrefu sana na kwa kuaminiana sana. Lakini pia nawakumbusheni ya kuwa hawa wote ni Wanajeshi walioiva kisawasawa na wenye kujua mbinu zote za kijasusi na hivyo waweza kusema ni Majasusi walioivaView attachment 3143299
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwako.Pumba
Jinga snUsiitikie Kinyonge bali sema ili tufanye mawasiliano na ndugu zako upelekwe haraka sana.
Kwako.
Ungeacha wenye akili Timamu waendelea kujadili hoja.sijui sasa unataka kusema nini, labda uanze kutuambia sasa.
Naona umechanganyikiwa tayari.F……..u
Wajadiliane watuletee mgombee wa CCM Mwanaume mwadilifu mwenye hofu ya Mungu ifikapo 2025Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Ndivyo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa mstaafu Ndugu Abdulhaman Kinana walivyokutana uso kwa uso na kubadilishana mawazo na stori za hapa na pale walipokuwa msibani kwa Marehemu Jenerali David Msuguri.
Ambapo kulikuwa na shughuli za kuaga Mwili wake Hospitali kuu ya jeshi Lugalo. Ikumbukwe kuwa au Nawakumbusha ya kuwa Mheshimiwa Dkt Jakaya Kikwete na Mheshimiwa Abdulhaman Kinana ni viongozi wenye historia ndefu sana na ya kipekee sana na ambao waweza kusema ya kuwa wameshibana kiurafiki.
Wamefanya kazi pamoja kwa muda mrefu sana na kwa kuaminiana sana. Lakini pia nawakumbusheni ya kuwa hawa wote ni Wanajeshi walioiva kisawasawa na wenye kujua mbinu zote za kijasusi na hivyo waweza kusema ni Majasusi walioivaView attachment 3143299
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unda chama chako ndio uweke mgombea wako Mwanaume.CCM mgombea wetu ni Mama yetu Mpendwa na shujaa wetu Mheshimiwa Daktari Rais Samia Suluhu HasssanWajadiliane watuletee mgombee wa CCM Mwanaume mwadilifu mwenye hofu ya Mungu ifikapo 2025
Hao maswahiba toka "utotoni".Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Ndivyo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa mstaafu Ndugu Abdulhaman Kinana walivyokutana uso kwa uso na kubadilishana mawazo na stori za hapa na pale walipokuwa msibani kwa Marehemu Jenerali David Msuguri.
Ambapo kulikuwa na shughuli za kuaga Mwili wake Hospitali kuu ya jeshi Lugalo. Ikumbukwe kuwa au Nawakumbusha ya kuwa Mheshimiwa Dkt Jakaya Kikwete na Mheshimiwa Abdulhaman Kinana ni viongozi wenye historia ndefu sana na ya kipekee sana na ambao waweza kusema ya kuwa wameshibana kiurafiki.
Wamefanya kazi pamoja kwa muda mrefu sana na kwa kuaminiana sana. Lakini pia nawakumbusheni ya kuwa hawa wote ni Wanajeshi walioiva kisawasawa na wenye kujua mbinu zote za kijasusi na hivyo waweza kusema ni Majasusi walioivaView attachment 3143299
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kweli kabisa.Ni marafiki ambao hawajakutana barabarani.Hao maswahiba toka "utotoni".
Rais ni mmoja tu Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan hadi 2030.2025 Tutakuwa na rais mpyaa kutoka CCM
Lucas.....Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Ndivyo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa mstaafu Ndugu Abdulhaman Kinana walivyokutana uso kwa uso na kubadilishana mawazo na stori za hapa na pale walipokuwa msibani kwa Marehemu Jenerali David Msuguri.
Ambapo kulikuwa na shughuli za kuaga Mwili wake Hospitali kuu ya jeshi Lugalo. Ikumbukwe kuwa au Nawakumbusha ya kuwa Mheshimiwa Dkt Jakaya Kikwete na Mheshimiwa Abdulhaman Kinana ni viongozi wenye historia ndefu sana na ya kipekee sana na ambao waweza kusema ya kuwa wameshibana kiurafiki.
Wamefanya kazi pamoja kwa muda mrefu sana na kwa kuaminiana sana. Lakini pia nawakumbusheni ya kuwa hawa wote ni Wanajeshi walioiva kisawasawa na wenye kujua mbinu zote za kijasusi na hivyo waweza kusema ni Majasusi walioivaView attachment 3143299
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
UnasemajeLucas.....
Unalipwa pesa ngapi ndugu yangu!Unasemaje
Silipwi hela.Unalipwa pesa ngapi ndugu yangu!