Kinana: Tusipendeleane, tusibebane

Kinana: Tusipendeleane, tusibebane

View attachment 2730746
Dubai - DP WORLD waanza kuchanganya watu huku..

Hebu mtazame na msikilize mwenyewe.

Bila shaka Mungu wetu amesikia maombi yetu

Mnara wa Babeli unaanza kuanguka. Tuendelee kuombea anguko kamili (total & complete fall) la utawala huu wenye roho ya kishetani chini ya CCM
Sio mara ya kwanza Kwa Kinana kusema haya au kuja na mawazo mbadala.

Kinana anajua Uhai wa ccm ni kuisimamia Serikali na si vinginevyo na ikiwa hivi ndio tutapata siasa shindani kama ilivyo Kwa Democrats na Republican.

Ni ujinga Kwa viongozi wa ccm Kuunga mkono Kila kitu Cha Serikali harafu Serikali wakibanwa wao wanajiweka pembeni huu ni upuuzi.

Kwa staili hii Kinana atarudisha Imani ya Wananchi Kwa ccm.

Mwisho Rais amrudishe yule dogo DC comrede Ili Wakiwa na Kinana wanaweza kuhimili majukwaa Kwa sababu wanauwezo wa ushawishi hasa zama hizi ambazo Mwenyekiti wao sio muongeaji.
 
ndg. yangu usihadikie kirahisi na viongozi wa ccm. hizi zote ni drama tu za kucheza na akili ya watz.

ikifika uchanguzi mkuu hawa wote wanakuwa na agenda moja ya kuhakikisha watu wao wanashinda chaguzi iwe kwa halali, kwa dhuruma, kwa wizi au kwa umwagaji damu.

subiri ifike 2025 ushuhudie hiki ninachokisema.
 
Anaongea tu kwa wananchi wakiwa huko ndani nikitu kimoja, wanatupaka mafuta tu huku, wapo kama panya kula huku wanapuliza

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni mbinu ya 230 naona maana zipo nyingi sana
Hapo kuna watu wanapiga makofi
Halafu wao wanacheka chini chini na kusema si niliwaambia
 
Sijui hii ni Clip ya lini, lakini Kwa kiasi kikubwa sana inafanana Na santuri zile za wakati escow wakati ule wa kikwete- huyu mzee alisema hivyo hivyo nchi nzima Na Nape wake.
Sasa tena anarudia santuri ile ile- naona wamegundua huo mziki unapendwa na ndio maana ya hii playback.
 
Sio mara ya kwanza Kwa Kinana kusema haya au kuja na mawazo mbadala.

Kinana anajua Uhai wa ccm ni kuisimamia Serikali na si vinginevyo na ikiwa hivi ndio tutapata siasa shindani kama ilivyo Kwa Democrats na Republican.

Ni ujinga Kwa viongozi wa ccm Kuunga mkono Kila kitu Cha Serikali harafu Serikali wakibanwa wao wanajiweka pembeni huu ni upuuzi.

Kwa staili hii Kinana atarudisha Imani ya Wananchi Kwa ccm.

Mwisho Rais amrudishe yule dogo DC comrede Ili Wakiwa na Kinana wanaweza kuhimili majukwaa Kwa sababu wanauwezo wa ushawishi hasa zama hizi ambazo Mwenyekiti wao sio muongeaji.
Faiza fox aione kwenye faili
 
Ameshajikichokea huyo mzee, wamemtuma kuwapelemba waporipori...
 
Dubai - DP WORLD waanza kuchanganya watu huku..

Hebu mtazame na msikilize mwenyewe.

Bila shaka Mungu wetu amesikia maombi yetu

Mnara wa Babeli unaanza kuanguka. Tuendelee kuombea anguko kamili (total & complete fall) la utawala huu wenye roho ya kishetani chini ya CCM
Hiyo inaitwa turning point.
Wataalam wa intelejensia kama Yericko Nyerere mnasemaje kwenye hili?

Je huu ndiyo mwisho wa drama?
 
Dubai - DP WORLD waanza kuchanganya watu huku..

Hebu mtazame na msikilize mwenyewe.

Bila shaka Mungu wetu amesikia maombi yetu

Mnara wa Babeli unaanza kuanguka. Tuendelee kuombea anguko kamili (total & complete fall) la utawala huu wenye roho ya kishetani chini ya CCM
Screenshot_2023-08-27-09-03-36-1.jpg
 
Ule usemi wa "nyani haoni kundule" umedhihirika pale Katibu Mkuu wa CCM, Abdallahaman Kinana alipowachana wanachama wa CCM katika mkutano alioufanya hapo jana mjini Kigoma kwa kuwaambia wanachama wa chama hicho waache kupendeleana wala kubebana kwani kwa kufanya hivyo tutazalisha makundi mengi ndani ya chama hicho, kitu ambacho sio afya kwa chama na pia kwa kufanya hivyo kunaweza kuchangia kuchukiwa kwa chama na kupelekea upinzani kupata nguvu!

Kinana anasahau kuwa ndani ya chama hicho (hasa ngazi ya juu) wamekuwa wakibebana na kupendeleana hasa pale ambapo kumekuwa kukifanyika madudu ya kukichafua na kukipaka matope chama. Rejea orodha ya mafisadi iliyotajwa na CCM, Rejea orodha ya mawaziri mizigo iliyotajwa na Kinana mwenyewe, n.k. Ni hatua gani madhubuti zilizochukuliwa na chama kwa watu hao? Huko sio kubebana? Huko sio kupendeleana?

Kauli hii ya Kinana ya "Tusipendeleane, Tusibebane" inaonesha kana kwamba CCM inatufanyia usanii.
Acha upotoshaji wewe The Palm Beach

Huu ni uongo mkubwa sana maana hiyo clip ni ya awamu ya nne wakati CCM imedoda na ikawa inawaangushia jumba bovu mawaziri wake kwa kuwaita mizigo kupitia huyo fisadi kubuhu Kinana!

Na ndipo ilizaliwa kauli mbiu ya CCM kujivua Gamba.
Na Chadema wakaidakia juu kwa juu na kuigeuza kuwz Vua Gamba Vaa Gwanda!

Narudia tena ewe The Palm Beach
No research no Wright to speak!
 
Kuna Royal families zaidi ya 3 huko ni kupakatana au kubebana kwa mbeleko ?
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM komredi Kinana amesema Chama tawala ni Lazima kiwe na Nguvu ya kuishughulikia Serikali badala ya kuwa sehemu ya walalamikaji kama Wananchi wa Kawaida

Kinana amesema watapeleka pendekezo kwenye Halmashauri Kuu ya CCM ili Chama kujitoa Tamko Waziri fulani hafai basi Kesho yake asubuhi tu awe ameshatumbuliwa, haiwezekani kulea Mawaziri Wavivu Hiki kitakuwa Chama gani kisicho na Nguvu

Aidha Kinana amesema tabia ya Wabunge kupitisha kila Kitu kinacholetwa na Serikali ifike mwisho na Serikali ielezwe Wazi kwamba Watendaji wake ni Wavivu

Mzee Kinana amesema hayo kwa hasira sana kwenye mkutano wa hadhara ambapo Wananchi walimshangilia sana

Chanzo: Clip ya Kinana kwenye ukurasa wa twitter wa Ananilea Nkya

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Back
Top Bottom