Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka wananchi wenye Akili kama za kwakoAcha wararuane mpaka kufika 2025 mambo yawe yamekorogeka sawasawa ili wananchi tujikomboe kutoka kwenye mikono ya hawa CC M
Hakuna jipya hapo. Mnapangwa kijanja mdhanie chama chao hakina tatizo na uongozi wa chama hauna tatizo bali serikalini kuna tatizo.Niliona hiyo clip.
Kama ni ya karibuni, wameshtuka; akili zinawarudia!
Mkuu ulisikiliza hiyo clip?Hakuna jipya hapo. Mnapangwa kijanja mdhanie chama chao hakina tatizo na uongozi wa chama hauna tatizo bali serikalini kuna tatizo.
Kwani serikali inaongozwa na chama gani?
Anatuliza upepo tu.
Yeye mwenyewe ni mguu ndani mguu njeKuna kikao cha kimkakati cha wabunge wa CCM kilifanyika huko Dodoma kupitisha hayo makolokolo ya DP world, Je Mzee Kinana nakulijua hilo? kama alilijua alichukua hatua gani kama mkuu wa chama?
Sina haja ya kusikililiza.Mkuu ulisikiliza hiyo clip?
Mkuu, nasikiaga hao huwa ni cream na wanafanyiwa vetting? Sasa wanakuwaje tena wavivu?Makamu Mwenyekiti wa CCM komredi Kinana amesema Chama tawala ni Lazima kiwe na Nguvu ya kuishughulikia Serikali badala ya kuwa sehemu ya walalamikaji kama Wananchi wa Kawaida
Kinana amesema watapeleka pendekezo kwenye Halmashauri Kuu ya CCM ili Chama kujitoa Tamko Waziri fulani hafai basi Kesho yake asubuhi tu awe ameshatumbuliwa, haiwezekani kulea Mawaziri Wavivu Hiki kitakuwa Chama gani kisicho na Nguvu
Aidha Kinana amesema tabia ya Wabunge kupitisha kila Kitu kinacholetwa na Serikali ifike mwisho na Serikali ielezwe Wazi kwamba Watendaji wake ni Wavivu
Mzee Kinana amesema hayo kwa hasira sana kwenye mkutano wa hadhara ambapo Wananchi walimshangilia sana
Chanzo: Clip ya Kinana kwenye ukurasa wa twitter wa Ananilea Nkya
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Ngoja nimuulize KigwangallaMkuu, nasikiaga hao huwa ni cream na wanafanyiwa vetting? Sasa wanakuwaje tena wavivu?
Huyu siasa imeshamshinda ajikite tu kwenye ile biashara yake ya ujangiri naona tembo wamekuwa wengi hadi wanakuwa tishio kwa binadamu atusaidie katika eneo hilo.Makamu Mwenyekiti wa CCM komredi Kinana amesema Chama tawala ni Lazima kiwe na Nguvu ya kuishughulikia Serikali badala ya kuwa sehemu ya walalamikaji kama Wananchi wa Kawaida
Kinana amesema watapeleka pendekezo kwenye Halmashauri Kuu ya CCM ili Chama kujitoa Tamko Waziri fulani hafai basi Kesho yake asubuhi tu awe ameshatumbuliwa, haiwezekani kulea Mawaziri Wavivu Hiki kitakuwa Chama gani kisicho na Nguvu
Aidha Kinana amesema tabia ya Wabunge kupitisha kila Kitu kinacholetwa na Serikali ifike mwisho na Serikali ielezwe Wazi kwamba Watendaji wake ni Wavivu
Mzee Kinana amesema hayo kwa hasira sana kwenye mkutano wa hadhara ambapo Wananchi walimshangilia sana
Chanzo: Clip ya Kinana kwenye ukurasa wa twitter wa Ananilea Nkya
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Hii mbinu imepitwa na wakati,nafikiri chama changu pendwa cha CCM tumeshindwa kuongoza nchi kwa weledi,sababu ni kuleana,Ule usemi wa "nyani haoni kundule" umedhihirika pale Katibu Mkuu wa CCM, Abdallahaman Kinana alipowachana wanachama wa CCM katika mkutano alioufanya hapo jana mjini Kigoma kwa kuwaambia wanachama wa chama hicho waache kupendeleana wala kubebana kwani kwa kufanya hivyo tutazalisha makundi mengi ndani ya chama hicho, kitu ambacho sio afya kwa chama na pia kwa kufanya hivyo kunaweza kuchangia kuchukiwa kwa chama na kupelekea upinzani kupata nguvu!
Kinana anasahau kuwa ndani ya chama hicho (hasa ngazi ya juu) wamekuwa wakibebana na kupendeleana hasa pale ambapo kumekuwa kukifanyika madudu ya kukichafua na kukipaka matope chama. Rejea orodha ya mafisadi iliyotajwa na CCM, Rejea orodha ya mawaziri mizigo iliyotajwa na Kinana mwenyewe, n.k. Ni hatua gani madhubuti zilizochukuliwa na chama kwa watu hao? Huko sio kubebana? Huko sio kupendeleana?
Kauli hii ya Kinana ya "Tusipendeleane, Tusibebane" inaonesha kana kwamba CCM inatufanyia usanii.
...
Kauli hii ya Kinana ya "Tusipendeleane, Tusibebane" inaonesha kana kwamba CCM inatufanyia usanii.