Huyu Kinana kauli ya CDF kuhusu uwepo wa viongozi wakimbizi ina muwashawasha.Abdulrahman Kinana amesema Uchaguzi ujao utakuwa wa haki kwani wasimamizi watakuwa Waadilifu na Waaminifu.
"Bunge limekubali (Bunge la Tanzania) limesema wasimamizi wa uchaguzi watakuwa watumishi wa umma waandamizi. Mtu atateuliwa kwa sifa; sifa za uadilifu, uhodari wa kazi na uaminifu. Mnataka nini tena? Tume itapata fedha kutoka kwenye mfuko mkuu wa Serikali."-Abdulrahman Kinana
Nini maoni yako?
Tunataka kauli ya CDF ifanyiwe KaziAbdulrahman Kinana amesema Uchaguzi ujao utakuwa wa haki kwani wasimamizi watakuwa Waadilifu na Waaminifu.
"Bunge limekubali (Bunge la Tanzania) limesema wasimamizi wa uchaguzi watakuwa watumishi wa umma waandamizi. Mtu atateuliwa kwa sifa; sifa za uadilifu, uhodari wa kazi na uaminifu. Mnataka nini tena? Tume itapata fedha kutoka kwenye mfuko mkuu wa Serikali."-Abdulrahman Kinana
Nini maoni yako?
Itaondokaje bila kuiondoa?Tunataka ccm iondoke
eti eeehAbdulrahman Kinana amesema Uchaguzi ujao utakuwa wa haki kwani wasimamizi watakuwa Waadilifu na Waaminifu.
"Bunge limekubali (Bunge la Tanzania) limesema wasimamizi wa uchaguzi watakuwa watumishi wa umma waandamizi. Mtu atateuliwa kwa sifa; sifa za uadilifu, uhodari wa kazi na uaminifu. Mnataka nini tena? Tume itapata fedha kutoka kwenye mfuko mkuu wa Serikali."-Abdulrahman Kinana
Nini maoni yako?
Ccm bana kinana anasema wasimamizi watakuwa waminifu?. Kumbe wale wakurugenzi tulio aminishwa kuwa ni waaminifu walikuwa wezi. Basi tunaomba atueleze walivyo tuibiaMambo ya ajabu sana,kwahiyo hiyo miaka ya nyuma hawakuwa watumishi wa umma????? Tunataka tume huru
Nimemkumbuka na mh Lema alivyomjibu yule mtangazaji wa star tv aitwaye odemba kuhusu bunge la kina TuliaHawa wasio Watanganyika ndio wanao haribu taifa hili,huyu mzee ana shutuma kibao za biashara kharamu ya pembe za ndovu.
Alafu Leo hii ndo anajifanya kutoa rai juu ya uadilifu,hili taifa Lina watu wapumbavu sana hasa uko CCM.