Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi wa tume hawajateuliwa lakini tayari ameshayajua uhadilifu wao...Upumbavu ni kipaji.Kinana ndie kawa msemaji wa hao wasimamizi?
Tuna siasa za ajabu sana, hii michezo bila kuamua kuiondoa kwa vitendo tukaamua kuwaachia CCM wasimamie kila kitu, tunacheza tu.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Huyo kinana mwenyewe ni mudilifu?Abdulrahman Kinana amesema Uchaguzi ujao utakuwa wa haki kwani wasimamizi watakuwa Waadilifu na Waaminifu.
"Bunge limekubali (Bunge la Tanzania) limesema wasimamizi wa uchaguzi watakuwa watumishi wa umma waandamizi. Mtu atateuliwa kwa sifa; sifa za uadilifu, uhodari wa kazi na uaminifu. Mnataka nini tena? Tume itapata fedha kutoka kwenye mfuko mkuu wa Serikali."-Abdulrahman Kinana
Nini maoni yako?
Ni lini walisemaga inaweza kuwa na watu sio waadilifu 😅😅🙏Abdulrahman Kinana amesema Uchaguzi ujao utakuwa wa haki kwani wasimamizi watakuwa Waadilifu na Waaminifu.
"Bunge limekubali (Bunge la Tanzania) limesema wasimamizi wa uchaguzi watakuwa watumishi wa umma waandamizi. Mtu atateuliwa kwa sifa; sifa za uadilifu, uhodari wa kazi na uaminifu. Mnataka nini tena? Tume itapata fedha kutoka kwenye mfuko mkuu wa Serikali."-Abdulrahman Kinana
Nini maoni yako?
Nakumbuka wakati fulani uliibuka utata wa uraia wake,hali ilikuwa tete hadi akawatumia maofisa wasiokuwa waaminifu pale Uhamiaji wakaiba faili la baba yake kupoteza ushahidiHuyu Kinana kauli ya CDF kuhusu uwepo wa viongozi wakimbizi ina muwashawasha.
Tanzania hatuna BUNGE tun Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ndani ya Jengo la BungeAbdulrahman Kinana amesema Uchaguzi ujao utakuwa wa haki kwani wasimamizi watakuwa Waadilifu na Waaminifu.
"Bunge limekubali (Bunge la Tanzania) limesema wasimamizi wa uchaguzi watakuwa watumishi wa umma waandamizi. Mtu atateuliwa kwa sifa; sifa za uadilifu, uhodari wa kazi na uaminifu. Mnataka nini tena? Tume itapata fedha kutoka kwenye mfuko mkuu wa Serikali."-Abdulrahman Kinana
Nini maoni yako?
Nani kamuuliza? Yaani timu zinacheza ligi moja halafu atokee mtu kutoka mojawapo ya timu hizo azungumzie uadilifu wa refa na kamisaa wa mchezo huo! Anawaonaje wapigakura?Abdulrahman Kinana amesema Uchaguzi ujao utakuwa wa haki kwani wasimamizi watakuwa Waadilifu na Waaminifu.
"Bunge limekubali (Bunge la Tanzania) limesema wasimamizi wa uchaguzi watakuwa watumishi wa umma waandamizi. Mtu atateuliwa kwa sifa; sifa za uadilifu, uhodari wa kazi na uaminifu. Mnataka nini tena? Tume itapata fedha kutoka kwenye mfuko mkuu wa Serikali."-Abdulrahman Kinana
Nini maoni yako?
Sixbert Mapunda akisimamia uchaguzi atakuwa muadilifu?Hii nchi bhana 🐼
Kama Rais/uchaguzi ni mbovu hivyo vyote ni kazi bure hata ufanye kazi vp maisha yako hayatainuka hata mara moja, na kama mpaka leo haujui umuhimu wa Rais/ uchaguzi katka maisha yako basi jua kuwa haujajitambua bado.Usijsahau kufanya kazi kwa bidii somesha familia yk vzr vyngnevo utabwabwajatu hakuna atokuelewa
Wakati anaongoza ile ofisi masaki 2015 viongozi wa Tume hawakuwa waadilifu ?Abdulrahman Kinana amesema Uchaguzi ujao utakuwa wa haki kwani wasimamizi watakuwa Waadilifu na Waaminifu.
"Bunge limekubali (Bunge la Tanzania) limesema wasimamizi wa uchaguzi watakuwa watumishi wa umma waandamizi. Mtu atateuliwa kwa sifa; sifa za uadilifu, uhodari wa kazi na uaminifu. Mnataka nini tena? Tume itapata fedha kutoka kwenye mfuko mkuu wa Serikali."-Abdulrahman Kinana
Nini maoni yako?
Mpaka Magufuri alikuwa mwizi wa kula, yeye ndio mpanga safu ya wezi wa tume. Kafa lakini sifa yake apewe. Apatiwe tuzo yake kwa uchaguzi ule.Ccm bana kinana anasema wasimamizi watakuwa waminifu?. Kumbe wale wakurugenzi tulio aminishwa kuwa ni waaminifu walikuwa wezi. Basi tunaomba atueleze walivyo tuibia
Kwa kweli naona Kinana kawa mzee mpuuzi na mjinga anayedhani Watanzania hawana akili.Mwambie aache upuuuuu..z
Huyu kwa kweli aheri angerudi kwao. Hana faida katika Taifa hili.Huyu Kinana kauli ya CDF kuhusu uwepo wa viongozi wakimbizi ina muwashawasha.