Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kauli hii inaashiria wazi kuwa nchi haijawahi kuwa na wasimamizi uchaguzi waaminifu wenye maadili...Abdulrahman Kinana amesema Uchaguzi ujao utakuwa wa haki kwani wasimamizi watakuwa Waadilifu na Waaminifu.
"Bunge limekubali (Bunge la Tanzania) limesema wasimamizi wa uchaguzi watakuwa watumishi wa umma waandamizi. Mtu atateuliwa kwa sifa; sifa za uadilifu, uhodari wa kazi na uaminifu. Mnataka nini tena? Tume itapata fedha kutoka kwenye mfuko mkuu wa Serikali."-Abdulrahman Kinana
Nini maoni yako?
Kauli zao zinawaumbua sana sasa